Walikuwa wachafu hao, Sisi tulivyokuwa wadogo kuna mtoto wa Rais nchi moja jirani zetu alikuwa akija nyumbani alitupenda sana, alikuwa akija anakula ugali maharage, mchicha na vilikuwa havimshindi wala alikuwa hana majivuno na ukimuona huwezi mjua kama mtoto wa Raisi, alikuwa anapenda kusikiliza nyimbo za Marekani boyz IImen, Celine , alikuwa msafi ana jeans na American boat anajipulizia manukato muda wote ana kunywa maji ya Kilimanjaro, alikuwa anatumiwa dollar elf tatu kila mwezi na Baba yake hii ni kwa kila mtoto, yani alitupenda sana kutusaidi alituchukulia kama sehemu ya familia yao, alikuwa ana akili sana ya maisha kuliko akili ya Darasani, tatizo alikuja wakati sisi tupo wadogo sana tulipo pata akili na bahati ikaondoka, mpaka leo ana tukumbuka alipenda tuwe na maisha mazuri.
Sent from my TECNO BB2 using
JamiiForums mobile app