Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna uongo wowote uliosemwa huko juu ?[emoji28][emoji28] mnatuonea sana
Ndio upo mwingi Sana. Mmojawapo wa kwakoKuna uongo wowote uliosemwa huko juu ?
Unaogopa kuingia chumbani kwa babu?
Asa nani atanishikia mkongojo wangu wakati naenda kuoga?
Bibi kashachoka. Mkongojo umemzidi nguvuHapana babu siogopi..
Bibi atakusaidia babu hata usijali
Nmedate nao baadhi wana wivu hao sio kawaida, aliwahi fuma text alafu mimi sikujua hatukulala mpaka pakakucha na ndio ikawa mwanzo wa kuniacha.
Tifu lake sio poa kabisa ila alikua mtam sana.[emoji36][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni mpogolo, kwao Kisawasawa, Ifakara.Huyo mkeo ana futi 3 mkuu😅 hii ni kimo cha nusu mlango! Atakuwa mluguru huyo bila shaka
Mmh!, huwa sielewi vizuri uhusiano wa wivu na upendo, muda mwingine huwa nahisi kama wivu ni roho mbaya tu.Sema wana upendo wa kweli
Kama hujahusiana na mwanamke mfupi, bado hujaonja utamu wa k, amini nakuambia..Unaoaje mwanamke mfupi au unataka mchimba visima ??
Nimeshadate nao, tabia zao hakuna mwanaume atatulia nao.Kama hujahusiana na mwanamke mfupi, bado hujaonja utamu wa k, amini nakuambia..
Upo sahihi kabisa, mwanamke mfupi ni battle ya kufa mtu, full mtiti!Nimeshadate nao, tabia zao hakuna mwanaume atatulia nao.
Nmecheka sanaaa chawawata hahaahahahahahahh uwiNdio, wale wanaume tuliooa wanawake wafupi tujuane tupeana changamoto za Hawa viumbe na ikiwezeka tuanzishe chama chetu cha wanaume waliooa wanawake wafupi Tanzania (chawawata) tuwe na mwenyekiti wetu na msemaji wetu karibuni
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
S kwa huu usawa wa bahari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulishaoa wangapi ukapata uzoefu? Na ufupi wao ulikuwa sentimita ngapi kutoka usawa wa bahari?