habari wadau..
mkesha wa mwaka mpya kutoka 2016 kuingia mwaka 2017...
nilikuwa na malengo makubwa sana.. na nilipanga piga ua lazima 2017 nitoboe...
niwe na biashara nzuri yangu mwenyewe.. clothing line na nilipanga niwe na modern photo studio ya models, na sehemu ya kuandaa vipindi vya tv ya kisasa...
lakini hadi leo novemba inaishia.. nimeishia kutembelea maduka tu kuuliza bei ya vifaa....
hela ngumu... kazini posho hakuna na safari ya kuhamia dodoma imenivuruga kabisa