Wale tuliopanga malengo Januari na hatujatimiza tukutane hapa, mwaka unaisha huu

Wale tuliopanga malengo Januari na hatujatimiza tukutane hapa, mwaka unaisha huu

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

mkesha wa mwaka mpya kutoka 2016 kuingia mwaka 2017...

nilikuwa na malengo makubwa sana.. na nilipanga piga ua lazima 2017 nitoboe...

niwe na biashara nzuri yangu mwenyewe.. clothing line na nilipanga niwe na modern photo studio ya models, na sehemu ya kuandaa vipindi vya tv ya kisasa...

lakini hadi leo novemba inaishia.. nimeishia kutembelea maduka tu kuuliza bei ya vifaa....

hela ngumu... kazini posho hakuna na safari ya kuhamia dodoma imenivuruga kabisa
 
Baadhiya malengo ilikuwa kuhamia kwangu na kumiliki BMW ila daaah acheni tu niishie hapo asee
 
Aahhh mi nshakata tamaa mipango yote imebuma
 
Dah nilitaka fanya biashara ya mpesa chuoni ila matatizo yakaniandama
 
Tuendelee kumshukuru Muumbaji kwa yote
2018 inakuja

Ushauri
Malengo yapangwe kulingana na kipato na yawe yenye uhalisia

Unaweza kuyanga ktk maeneo matano
1. Elimu ....kuongeza elimu

2. Kazi ...kupanda cheo au kufungua au kuboresha biashara

3. Family ...kuwa na familia au kupata mtoto

4. Akiba ya fedha mwisho wa mwaka

5. Nyumba au kiwanja
 
Mimi mwaka huu ulianza poa sababu nilianza kwa spidi kutimiza malengo yangu niliyojiwekea ila ghafla nikapotea katikati ya mwaka!





Ila sio mbaya nashukuru Mungu nimeweza ku-bounce back huku mwishoni na mambo yanaenda kimtindo si haba.. Mungu ni mwema sana!
 
Back
Top Bottom