Pole eeehKuwa na ghetto lang,nahis ndoto imeish,mzee wng naomb nivumilie mwakan tena ntakula na kulala kwako
Huna lolote, graduate wa mtaanNilipanga ni nunue Nyumba za Lugumi lakini Daah!! Alichonifanyia Dr. Shika siku ile Mungu anajua.
Ha ha ha ha wala haihitaji mbwembwe zozote wala mipango ili ww uendelee kuwa mzima, uzima ni suala la muumba,Niliomba uzima, namshukuru Mungu niko salama mengine ni mipango tu!!!!
Asante Mungu kwa afya nilonayo!!!!