Wale tuliopanga malengo Januari na hatujatimiza tukutane hapa, mwaka unaisha huu

Wale tuliopanga malengo Januari na hatujatimiza tukutane hapa, mwaka unaisha huu

Kama ulipanga kupiga hela na mpaka sasa mambo sio mazuri, my friend piga hata kelele tu "Woyoo woyo woyoooooo"
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Nilipanga niendeleze kiwanja changu walau nijenge msingi ila hata mawe sijamwaga
 
Niliomba uzima, namshukuru Mungu niko salama mengine ni mipango tu!!!!

Asante Mungu kwa afya nilonayo!!!!
 
Niliomba uzima, namshukuru Mungu niko salama mengine ni mipango tu!!!!

Asante Mungu kwa afya nilonayo!!!!
Ha ha ha ha wala haihitaji mbwembwe zozote wala mipango ili ww uendelee kuwa mzima, uzima ni suala la muumba,

Hapa imetajwa mipango ya kibinadamu na sio mipango ya mungu (kama vile uzima),,,, au ww hukuwa na mipango kabisa badala yake uliamua kumuachia mungu tu mambo yote?
 
Back
Top Bottom