Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo unaamini hii ndio radi?Hujathibitisha kwamba huyo mnyama sio radi
kuna uwezekano huo, kuna sehemu wanajua radi anafanana na jogoo mwekundu pia, na wanatumiana zinafanya kazi...Kwahiyo unaamini hii ndio radi?
Hii mpaka Leo inafanyika 😊😊Ukijisadia mahali nje ya choo,Temea mate Lile eneo na ufukie la sivyo mwiko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa umekaa halafu mtu akasimama pembeni yako anakuwa anakunyonya damu [emoji3][emoji3]
Huyo mnyama kuna historiia yake humu ,pia ni logo ya moja ya nchi huko ulayaHujathibitisha kwamba huyo mnyama sio radi
Agip ni kampuni la mafuta la Italia.Huyo mnyama kuna historiia yake humu ,pia ni logo ya moja ya nchi huko ulaya
OkAgip ni kampuni la mafuta la Italia.