Hahaha na shida ile ya majiiii, hujaoga wik nzima...gegedo linakua kavuuuuuuuuuu acha....Dah ilinitesa sana same boys high school.. Kipind kile ..... Ila now mambo fresh gegedo safii
Nimecheka mimi hahahaaaaa asante mkuuKuna dawa fulani maji ya kijani ivi aiseeeee ukipaka ile unaweza jikuta umetokea assembly uchi wa mnyama kwa jinsi inavyouma baada ya hapo P inakauka na ngozi inababuka heeeee heeee usiombe msimu ule maana bweni linakua na harufu fulani ivi na hakuna wa kumcheka mwenzie.
Nomaaaaaaaaaaaaa shida ya maji afuu mchana joto kaliiii usiku ni pozea baridi.. Kali na full upepooo dah hiyo p-eroision aseeeeee ilinisumbua sana ila now safuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHahaha na shida ile ya majiiii, hujaoga wik nzima...gegedo linakua kavuuuuuuuuuu acha....
Usiogope ukweli mamaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] yeuwiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Karatu high school arusha nako uliitwa pumbu erosion, huo ugonjwa unalamba mpaka mavuzi, pumbu inakuwa Na chemichem ya maji yanatiririka kuelekea kwenye magoto!
Chuo kikuu nikakutana Na red eyes! Noma sana!
Ndo maana watu wanahasra Na bashite from koromijee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] We jamaa kweli unauelewa mchongo kiundani.Pumbu erosion ni stori mpaka kwa washkaji zangu walokuwa wanasoma Mtwango Sec.Kuna wengine wamebahatika kuwa nayo mpaka leo P Erosion.Hiyo nilikuwa Tosamaganga Pumbu iliwiva ilikuwa nyekundu ukipaka dawa utafikili mtu anachoma pumbu maumivu yake Nilikuwa najifungia Room pekeangu nazunguka humo naruka najikamua acha ile kitu siji sahau
Halaf mbaya zaid inakula ngozi ya pumbu inabaki ka karatasi unahis Dakika 2 mbele Pumbu zinamwagika mamaye Halafu sikumbuki Dawa gani ndo Ziliniponesha[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] endelea kusoma posts. Kuna mtu atatoa utatuzi wakeLa saba mie nijulie wapi hayo mambo ya boarding poumbou erosion?? Embu tiririkeni nijue ukoje huu ugonjwa na kama ukinipata nijue nafanyaje wakuu
LA SABA HOYEEE...uko na kasheku msukumaLa saba mie nijulie wapi hayo mambo ya boarding poumbou erosion?? Embu tiririkeni nijue ukoje huu ugonjwa na kama ukinipata nijue nafanyaje wakuu
hahahah...kasheku msukuma ni nini mkuuLa saba
LA SABA HOYEEE...uko na kasheku msukuma
Kabisaa,tena kuna form 2 kidogo pumbu zidondoke paradeGalanos hiyo kitu ilitusumbua sana