Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Aisee.. Walikua wanataka kuipiga bei nn?
 
Dah!...Afande Chacha,na style take ya kupangusa USO...
Afande Miraji alinipa adhabu ya kufukia jalala la taka liwe tambararare....niliifanya kazi hiyo wiki nzima lakini jalala halijai, Yule jamaa alininyoosha aisee!
 
Afande Mahundi, Mwalimu Boniventure hisabati form 2 sciences, Makunjalila, Asu, Mwalimu Haule, Miss Neema English form 4, Mwalimu Mchwampaka, Mwalimu Mwita aaaahhhh aaaahhh those days Makongo High School
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa Kenya Man alinipiga fimbo 20 na sikufuta hata mojaa
 
Nilipiga division one kali ambayo kwa miaka 15 sasa haijavunjwa
 
Maisha yako kasi sana mkuu Mwaseba sasa ni Brigedia Gen last time alikua Marekani ,Mayebe nilimuacha akiwa Major ,Kisonga alikua anazngua mademu wa pree form 5 na kumbuka siku raia tulizingua kurudisha viti nyambizi hall mvua ilikua ina nyesha skauti moja akafunga geti aka ita MP walikua wanaenda lindo gar ilikuja pale Assembo mp waka shuka wawil na mvia ile watu wenyew waka jiongeza tulika nyagana sana wali vunjika watu mikono kwenye tiles
 
Kuna patron alikua anaitwa afande Bry...asee ile staili yake ya kuchapa bakola maarufu kama Amina kadera ilikua ni hatari sana..
 
Enzi za kutembea Mwenge to Makongo hakuna kupanda gari...
Ukiwa na nywele Afande Miraji anakupiga zigzaga na mkasi lazima ukanyoe aisee
I miss Miraji So much.
Alikuwa mkali but so lovely
kiinglish kilikuwa kinampiga Chenga sasa tupo Mstalini Na Kipingu kipingu Day, ile Speak English Only.
Kamaliza Kipingu sasa Afande Miraji Si Ung'eng'e haupandi??
Akaanza
' WHY ARE YOU LAUGHING?? ×2
Why are You Laughing like BANANA??
 
RIP to Him,he was so brave and funny, pamoja na ukali wake.
 
Daa Anko Peter alkuwa noma sana kushika majina ya kila mtu. Miraji akisababisha nikawa nashinda mbezi mana getini kupita ilkuwa mbinde ila Chacha alinikuta bwenini wacha anipe kichapo kazee kale buana kazi yake ilkuwa kukiss tu warembo! Yeyeye mwishon mwisho kabla hajafa (RIP) alkuwa na mitusi mmmmmm dah umenkumbusha mbali sana ili chimbo letu ila lyf goes on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…