Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,553
Watu mna kumbukumbu balaa.....Ulikuwa wewe jamaa fulani anaitwa Jacob, Michael na wengine mkapelekwa ndani pale kikosini Mwenge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna kumbukumbu balaa.....Ulikuwa wewe jamaa fulani anaitwa Jacob, Michael na wengine mkapelekwa ndani pale kikosini Mwenge
Aisee.. Walikua wanataka kuipiga bei nn?Ushawahi kupata mkasa wa huyo Meja Kisarika?
Huyo alikuwa ni kikosi cha wanaanga yeye na akina Meja Mstaafu Alex Ndeki aliyekuwa Mkuu wa Airwing pamoja Captain Ulomi. Awali kabla mkasa huo walikuwa ni Makanali.
Walikumbwa na mkasa wa kuiba ndege ya kikosi, waliposhtukiwa ikala kwao wakashushwa vyeo meja wote. Mengine siwezi weka hapa jukwaani
Naishia hapa
Hakuwahi kuvaa sare.. Na alivyokua mpenda sifa angekua Askari angekua anazivaa sare kila sikuKisonga ni ofisa nilimuacha ni Luteni
Hakuwahi kuvaa sare.. Na alivyokua mpenda sifa angekua Askari angekua anazivaa sare kila siku
Form 4 au 6? Mwaka gani?Nilipiga division one kali ambayo kwa miaka 15 sasa haijavunjwa
Form 4 au 6? Mwaka gani?
Hongera mkuuNilipiga division one kali ambayo kwa miaka 15 sasa haijavunjwa
Maisha yako kasi sana mkuu Mwaseba sasa ni Brigedia Gen last time alikua Marekani ,Mayebe nilimuacha akiwa Major ,Kisonga alikua anazngua mademu wa pree form 5 na kumbuka siku raia tulizingua kurudisha viti nyambizi hall mvua ilikua ina nyesha skauti moja akafunga geti aka ita MP walikua wanaenda lindo gar ilikuja pale Assembo mp waka shuka wawil na mvia ile watu wenyew waka jiongeza tulika nyagana sana wali vunjika watu mikono kwenye tilesAiseee inatia faraja sana kusikia hizi stories.. Mm nimekaa miaka minne hapo.. Nimetoka 2009.
Tumekaa na Afande miraji Mpka mauti ilipomkuta na wananchi walilia vile vile walivyokua wanatoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lake.
Babu chacha mpenda mizigo.
Bila kumsahaua Afande sele sijui yule mwenye kitambi mpenda kula.
Namkumbuka major tarimo katupigisha sana pindi la computer kwenye zile lab mbili.
Master mayebe ambae walikua wanasema yuko kwenye intelligence ya jeshi.
Kanali kipingu alipokua akija assembly na sare Zake katui inspire sana.
Major mwaseba.
Kombaha alikua ana mikwara kisa alikua ananimilik kombi ya KLF.
Na wengine wengi..
Bila kusahau ukienda toilet Unakuta chata kubwa la POP2.
tuache utani nyambizi wakati wa Pepa kunaboa...
Makongo imetufundisha sana ujanja na kuchakata akili kuto ku give up maana stiki zilikua zinaanzia getini. Wanawake shika mguu mmoja Wanaume kunja ngumi.
Kuna MP Mmoja nilikua simpend juzi nikamuona kwa aziz ally kashastaafu Nusura nimpige Jiwe.
Kisonga ni Habari nyingine.. Wengine wanasema alikua mjeshi asiyevaa sare wengine wanasema raia tu.. Japo alikua anatafuna sana Dada zetu wa form 5 na 6...hasa wakiwa na. Maumbo nadhifu kwenye zile sketi zenye V
I miss Miraji So much.Enzi za kutembea Mwenge to Makongo hakuna kupanda gari...
Ukiwa na nywele Afande Miraji anakupiga zigzaga na mkasi lazima ukanyoe aisee
Wansanto yupo wapi??Makongo High School...Elimu ni Ulinzi
Ile ilikua corando mkuu haikua jeepSecond Master Major Yeyeye! Alikuwa bandidu na Jeep yake.
RIP to Him,he was so brave and funny, pamoja na ukali wake.I miss Miraji So much.
Alikuwa mkali but so lovely
kiinglish kilikuwa kinampiga Chenga sasa tupo Mstalini Na Kipingu kipingu Day, ile Speak English Only.
Kamaliza Kipingu sasa Afande Miraji Si Ung'eng'e haupandi??
Akaanza
' WHY ARE YOU LAUGHING?? ×2
Why are You Laughing like BANANA??
Daa Anko Peter alkuwa noma sana kushika majina ya kila mtu. Miraji akisababisha nikawa nashinda mbezi mana getini kupita ilkuwa mbinde ila Chacha alinikuta bwenini wacha anipe kichapo kazee kale buana kazi yake ilkuwa kukiss tu warembo! Yeyeye mwishon mwisho kabla hajafa (RIP) alkuwa na mitusi mmmmmm dah umenkumbusha mbali sana ili chimbo letu ila lyf goes onKwa wale tuliopitia Makongo kuanzia enzi zabkuvaa kaptura mpaka suruali tukutane hapa kama wahenga tukumbushane ya kihenga kuanzia makundi ya NO LIMIT SOLDIERS, FEHAJ SISTERS....
Bila ya kuwasahau maafande wetu Mzee Kipingu, Marehemu Mzee Yeyeye, Mzee Miraji, Babu Chacha na wengineo na kwa wale waliofariki Mwenyezi Mungu azilaze roho mahala pema pepon.
Kulikuwa na vitu kama NYAMBIZI, majuto garden na kwa wale wenzangu wa bweni hawatawasahau akina MASTER MAYEBE, MSONGOLE, MATAULA, SENKONDO, ANKO PETER na wengineo
Tiririkeni wahenga wenzangu