Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Wale tuliosoma Makongo Secondary School tukutane hapa

Mimi hao sikuwakuta lakini Kisonga nimemkumbuka tu
Kisonga alikuwa na roho ngumu now days kawa church boy Sana Kuna siku niimkuta parokia ya mtongani kunduchi ana sali kwenye groto la mama bikira Maria
 
Hatari sana Makongo ilikuwa chem chem ya vipaji vya soka
 
Huyo master alinifundisha maths nilikua mtukutu na alikua ananipenda coz i was good in math.na nilimwambia form 4 nitapata A ya math. Na kweli niliipata. A
Lt. Col Harun Mayebe a.k.a Master. Mpaka mwaka 2021 alikuwa Luteni Kanali. Huenda akawa hivyo au zaidi kufikia sasa. Mwl wa Mathematics, sharti lake uwe na madaftari matatu ya Mathematics
 
Huyu jamaa ndio mkono wake wa kulia kama umepinda flani hivi right...?

Dah, jamaa anachapa kama ndio huyo aisee. Halaf alikuwa sio mtu wa kuongea ila ukiingia kwenye 18 zake ni shida aisee.
Alinikosa na teke karibu anivunje. Ilikuwa asubuhi alipita katikati ya michongoma; sikumuona, alivaa combat nikastukia huyu hapa. Meja Kisarika
 
Back
Top Bottom