balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Hizi shule hazina pesa Tena na mishahara ya maana hakuna.Walimu competent hawapo huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kisonga alikuwa na roho ngumu now days kawa church boy Sana Kuna siku niimkuta parokia ya mtongani kunduchi ana sali kwenye groto la mama bikira MariaMimi hao sikuwakuta lakini Kisonga nimemkumbuka tu
Competition ni nyingi na kubwa siku hiziHizi shule hazina pesa Tena na mishahara ya maana hakuna.Walimu competent hawapo huko.
[emoji16][emoji16][emoji16] ndo ile cafe ya yule bonge?Kama ulikuwa unazurura mitaa ya mwenge lazima utaijua internet cafe maarufu ya wanafunzi WA Makongo GOLDEN INTERNET CAFE
Yeaah 😂 sehemu ya kujilipua wanafunzi[emoji16][emoji16][emoji16] ndo ile cafe ya yule bonge?
Kitambo sana aisee
Lt. Col Harun Mayebe a.k.a Master. Mpaka mwaka 2021 alikuwa Luteni Kanali. Huenda akawa hivyo au zaidi kufikia sasa. Mwl wa Mathematics, sharti lake uwe na madaftari matatu ya MathematicsHuyo master alinifundisha maths nilikua mtukutu na alikua ananipenda coz i was good in math.na nilimwambia form 4 nitapata A ya math. Na kweli niliipata. A
Alinikosa na teke karibu anivunje. Ilikuwa asubuhi alipita katikati ya michongoma; sikumuona, alivaa combat nikastukia huyu hapa. Meja KisarikaHuyu jamaa ndio mkono wake wa kulia kama umepinda flani hivi right...?
Dah, jamaa anachapa kama ndio huyo aisee. Halaf alikuwa sio mtu wa kuongea ila ukiingia kwenye 18 zake ni shida aisee.