Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Vipi, haturuhusiwi kuchangia kumbe?[emoji848]
Mnaruhusiwa...ila nawakubali sana maanake mnaweza kufuata dushe hata km 20,000. Mkiweezeshwa mnaweza!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] chezea kuujua mji wewe
Kuna sehemu unaenda hadi unajiuliza hivi huku likitokea la kutokea inakuwaje????!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…