Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko Rulenge - Ngara. Karibu sanaUko wapi nikufuate...?
😱 ya kweli haya?Hata kona nyingi za JF pia umezijua kwa sababu ya totoz!
Ha ha haa hata mkiambia mkae juu tu mjipimie kila siku mnalalamika.Huo mfano ni mkubwa sana kwangu. Tafadhali tafuta mfano mwingine
Siku hizi baada ya kupata dume umetulia kabisa!😱 ya kweli haya?
Vipi, haturuhusiwi kuchangia kumbe?[emoji848]Duh...! Kweli haki sawa...
Kujipimia nini?[emoji6]Ha ha haa hata mkiambia mkae juu tu mjipimie kila siku mnalalamika.
Sijapata bado..sijui Nina gundu😛Siku hizi baada ya kupata dume umetulia kabisa!
[emoji23][emoji23][emoji23] chezea kuujua mji weweMnaruhusiwa...ila nawakubali sana maanake mnaweza kufuata dushe hata km 20,000. Mkiweezeshwa mnaweza!
Kwani wewe tulitongozana?😀Wewe si ulinipiga kibuti....?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya maisha jamani nyie acheni tu.Kuna sehemu unaenda hadi unajiuliza hivi huku likitokea la kutokea inakuwaje????!!
Tujaribu basi.Ah itakuwa nimekufananisha.