Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Wale Tulioujua Mji Kwa Sababu ya Totoz Tujikumbushe.....

Sifuatiliagi papuchi nje ya km 2 kutoka nyumbani...i.e seduce your neighbor
Tupo tofauti

Sipendi papuchi za karibu, mambo ya kujidai tunajuana sana huwa sipendi

Halafu huwa sitaki kunyea kambi
 
Japo mimi siyo mwanaume wa dar
Ila nilipajua ukonga Mombasa kwasababu ya mwanamke
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Bom bom mwisho wa lami
Kongowe njia ya Mkuranga
Moshi nikaisafiria nyapu
Ramadi kutoka mwanza nikaisafiria nyapu
Changanyikeni
Ukifika Gomz, kuna vidala dala vimechokaa huwa vinapandisha kwenda kushoto sijui.kunaitwaje kule. Hizo ndo ninazozikumbuka fasta fasta.
 
Tupo tofauti

Sipendi papuchi za karibu, mambo ya kujidai tunajuana sana huwa sipendi

Halafu huwa sitaki kunyea kambi
Hata mimi niko hivyo. Jirani mambo yakiharibika inakuwa tabu.
 
Dar nazijua sehemu chache... Tanga ndipo napopajua zaidi hata ya Arusha. ila sio watoto wa kike....

Mimi ni mtu wa ndani saana. Nyie viwembe hatuwawezi bhana unatoka kwenu Masaki unawafuata watoto kwa Dampo????
Haha tanga ulipajua saana maybe kwa sababu ya zile baikoko nini?? Au vigodoro
 
Dah na mimi nilienda hapo Maramba 2 nikitokea Gomz.Nikafikia pale magengeni nikaanza kuwafunga draft wakati namsubiri Nourat.Siku hiyo nilit.mba kama kichaa
Aiseeeee....
 
chanika kwa mbele kule sijui panaitwa mvuti mbali kichizi.... kama mkoani vile kulivyo kulivyo daladala za kusubiri masaa kadhaaa
 
Hapana cheza na papuchi mpya
Dah...si utani mkuu...nilienda Kijiji cha mbele huko...bajeti niliyotumia ningeweza kutalii pale Rozana kila siku kwa miaka 15 ...Nikajishangaa Sana..... Kweli tusimlaumu Adam kabisa...hii kitu ni hatari aisee..[emoji85]
 
Back
Top Bottom