Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Daaaah nimecheka Hadi basi.....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ipeleke kwenye uzi wa kula kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fumanizi Jingine,

Enzi hizo hizo za balehe imepamba Moto, usharobaro uchwara umetawala KICHWA changu.

Nilikua na Mpenz wangu wa kike ila ni pacha aliitwa KULWA.

Huyu alikua Mpenz wangu wa mda mrefu Sana na ktk Harakati zote zote za Uhuni.

Kwa huyu KULWA Nlkua nakua mpole Sana.

Kulwa Alkua anasoma shule flani ya sekondari Ni seminary ila Ni bodingi

Binafsi Nlkua nasoma hizi shule zetu za serikali ila Ni Day.

Baada ya uhamisho wa kikazi, baba akahamia mkoa alokuepo mke wake na ndo huo mkoa tulokuepo sisi na ikabidi pacha wake nae ahamishiwe na atafutiwe shule pale mjini.

Akapelekwa shule flan ya binafsi ya wahindi pale mjini,

Ile shule kiukweli tangu hapo, Ni shule ilokua na uhuru wa manyani.

Watoto wakike walivaa visketi vifupi, walisuka, waliseti nywele n.k

Jamaa angu mmoja akanambia,
"Oya msela wangu, kua makini na uchakataji wako. Kipenda roho wako keshaingia mjini. Afu kanenepa kichizi Maisha ya bodingi yamemkubali."

Nikambishia kua haiwezekani maana mda wa likizo bado.

Jamaa angu mwingine nae akaja anambia,
"Oya Dem wako leo nmemuona church, kapiga kimini hicho Ni balaa."

Duh! Basi nikaamini kweli kaja

Usiku huo huo nkaenda Kwao,

Kuchungulia kwa mbali kwenye Kona ya ukuta, nkamuona mtu Kama yeye.

Kama nilivozoea ulkua Ni mwendo wa kurusha punje tatu za maharage juu ya paa Kama alama ya kua Niko maeneo hayo.

Nikarusha mara kibao nikaona hastuki, nikaacha nkaondoka.

Kesho yake, nkasema Hebu nikavizie tena.

Niko ukutani napanga tekniki za kingia ndani.

nkaskia mtu aki ananiita,

"Hello, Karibu ndani"

Duh, ikabidi niingie tu.

Nmekaa sebleni akatoka binti kafanana Sana sura na Mpenz wang.

Ila yeye Ni mweupe Sana na mnene kiasi ananikaribisha Sana.

"Hey, you are welcome. Mimi naitwa X, ndo Mdogo wake na Y."

Nkamwambia,
"Nashukuru kukufahamu, Mimi naitwa Deep, ni jirani yenu mtaa huu. Naishi upande pili wa barabara nyumba ile pale ya mzee flani yenye trekta bovu kwa mbele"

Dogo akajibu,
"Ok nashkuru kukufahamu, ila hii sura nihisi sio ngeni kwangu"

Nkauliza, "Kivipi"

Akajib "Nmewahi kukuona kwenye Disko la welcome form One pale shulen kwetu shule x"

Nkasema "Hapana utakua umenifananisha"

Akajib
" mmh, sio kweli Mimi nna uhakika nlikuona. Tena ulivalia Jinsi ya bluu, raba ya njano ya Adidas na tishet ya njano ya Adidas"

Akakazia,
" Hebu nilete albamu ya zile picha za sherehe, Kuna picha ulipiga na shosti zangu"

Duh, mtoto kweli kaleta albamu na kunonyesha picha mbili nlopiga na kidem flani nacho nilikua nakimega pale shulen Kwao.

Nkamuuliza
" Sasa hizi picha zangu wee umezipataje?"

Akajibu,
"Yule mpiga picha baada ya kuniletea za kwangu, akanambia niwapelekee na shoga zangu maana tayar zilikua zishalipiwa"

Nkajibu "Ok"

Basi stori zikaendelea na mazoea na yule binti yakapamba Moto.

Binti akaanza mpaka mazoea ya kuja kwetu baada mda wa kutoka shule.

Washkaji nao wakaanza kumzoea maana pale nyumbani ilkua ndo kijiwe Cha washkaji zangu kufanyia upuuzi. Mf:stori, muvi , kuimba, kudensi na sometimes KUCHEZA magemu kwenye PlayStation.

Siku moja washakaji wakaniweka kitako niwaeleze ukweli Kama nammega au lah.

Nkawaambia
" Hapana simmegi Wala nini, ila Ni Kama shemej yangu maana natoka na Sista ake ambae yule Ni KULWA afu huyu ni doto"

"Niko nae kisela tu, japokua nahisi hajui kabisa kua mimi Ni shemej ake"

Washakaji wakaanza kunikoki,

"Aisee wee jamaa kumbe fala kweli, yaani siku zote tunaona uyu Mtoto anaingia na kutoka humu kumbe hata humgongi?"

"Wee ndezi kwelikweli, Hivi huoni kabisa kua huyu Ni mzur Sana kuliko yule kulwa?"

"Dah! Kwenye miti hapana wajenzi"

"Fanya uzamishe hata KICHWA msela wetu, uyu Mtoto ukimuendekeza atakudharau "

Binafsi siku hiyo walinisema Sana, Nkawaambia
"Sasa endapo uyu pacha wake akija kujua itakuaje?"

Wakanambia,
"KULA mzigo acha ufala wewe, Yule utampanga mbele ya safar. Hawezi kukuacha mmetoka mbali sana. Cha muhimu weka heshima kwanza, mtafune uyo Mtoto mbichi"

Nkawaambia,
"POA hebu nimuanzishie Harakati Mdogo Mdogo"

Basi, Kesho yake Nkawaambia masela wasije home.

Nkakiiandaa chumba, nkaoulizia pafyumu na kuweka diskolight pamoja na PlayStation na TV kuvihamishia chumbani kwangu.

Kesho yake Mtoto kama kawaida yake akawasili nyumbani kunitembelea.

Nkamwambia
"Karibu ,ingia moja kwa moja huku (chumbani kwangu) , Leo sebleni Kuna mafundi wanakuja kukarabati"

Akajibu
"Sawa"

Itaendelea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata uzi wa kucheka leo.

Hahahahahahahahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hawakukudhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]

Kingsmann

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa ndiyo upo humu kimakosa
Aliyetoa ushuhuda wa yuko sawa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Bado unasolve kesi. Vinyele vitatuua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
Kitu ililala kama plastiki ilochomwa na moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kipindi flani kabinti kameniomba nikaelekeze isue flani kwa computer bt nyumbani kwao. Nikaona mizinguo kwenda kukaa na binti huku baba, mama, ndugu wapo, NIKAZINGUA.

Cku ya cku nakutana na mzee wake akanisisitiza kuwa binti kampa taarifa kuwa ntaenda ila hajaniona KULIKONI? nikamchapa kiswahili mzee kwamba mishe zimekua mingi ila nitaenda.

Cku moja j3 nikaamua kuibuka kwa binti, namkuta na mdogo wake. Nikaaanza kutoa somo. Huku na huku naona dogo analazimishwa akacheze na wenzake jirani. Binti kamtoa dogo mpaka nje wakati anarudi naona nguo kapunguza punguza (UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA UNAHUSIKA)

C nikala sasa. Wakati nimemaliza kula tunda nimekaa kama dakika kumi hivi. Nasikia gate limefunguliwa na mzee katimba ndani. Usafiri kaacha garage kaja na boda boda. Mzee kanichangamkia, shukurani nyingi kwa kukubali kuja kumpa darasa binti yake. Ila nahc alistukia kitu akaamua vunga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip hakusema muachene mkuu maana hiyo ni live bila chenga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke aseme tuwachane si anajitafutia shida zaidi, wake zetu mungu amewaumba kusamehe mimi naamini wanajua tunachepuka sana ila hawapendi wajue tena kwa mtu anaye mfahamu ndiyo haoendi lakini saa zingine hawana jinsi zaidi ya kupambana na ndoa yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…