Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Ehee alafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndo dawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee nae alipanic ha ha ha..
 
Mkuu uliponea sana,Mshukuru Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi itwa na demu niende kwao yupo alone. Kufika nikajiachia kama nipo kwetu. Ghafla dingi ake kageuka, ikabidi nijifanye nilikuja kurekebisha taa.

Dingi kauzu hatari, nahisi alinistukia. Maana baada ya kurekebisha ile taa, akanipa na genereta nilirekebisha wakati sijui chochote. Nikaomba niende home kufata vifaa, dingi kagoma,akanitolea tools zake pale, alaf akakaa pembeni anasoma gazeti.

Siwezi rudia ujinga wa kumfata demu kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungegoogle[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…