Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Wale tuliowahi kufumaniwa tukutane hapa tupeane uzoefu wa jinsi ulivyookoka

Mwanamke aseme tuwachane si anajitafutia shida zaidi, wake zetu mungu amewaumba kusamehe mimi naamini wanajua tunachepuka sana ila hawapendi wajue tena kwa mtu anaye mfahamu ndiyo haoendi lakini saa zingine hawana jinsi zaidi ya kupambana na ndoa yake.
Kwa hiyo sahiv hapo kalala
 
Ulikua mtindo wangu kila usiku sa sita sita ivi watu wamelala mimi nanyata kuelekea chumba cha beki tatu tandika mechi safi naenda kulala zangu najiona bingwa mwenyew kalikua katamu jamni [emoji16][emoji16] basi 40 zikafika siku iyo nimenyata kama kawa nkaingia tukaanza mchezo siku iyo ilikua tamu kweli kweli mana sikusikia hata bi mkubwa akifungua mlango nkaona taa imewashwa tu aisee aliwaka pigwa makofi ya uhakka na beki tatu nae alichezea keleb za kutosha, msala uliisha kijuujuu tu japo alikuja kuondoka mana sio kwa aibu ile dah, sasa mda umepita tukawa sebuleni tunaangalia ze comedy tbc ikafika ile segment mwishon masanja anawachana watu wanaozingua si akaleta pigo za “na wale usiku ukifika mnanyata kwenda geto la mabeki tatu mpo mmetulia mnaangalia show!” maza alicheeeka kwanguvu nlijiskia vibaya [emoji1787][emoji1787] dah kitambo sana.
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha

Distributed Denial-of-Service
 
Nilifumwa na bi mkubwa namla beki tatu, hii aibu hadi leo kila nkikumbuka natamani kulia tena alinifuma ndo nakojoa cha kwanza nimesimamia ukucha mara pap taa inawashwa afu bi mkubwa anatupimia [emoji119][emoji119]
Bi'mkubwa nae kazidi ufukunyuku
 
Binafsi mm nimewahi kufumaniwa kama mara mbili hivi, mara ya kwanza niliopoa kadem kalikokuwa kanasoma chuo sasa siku moja ya jumamosi wife yy akiwa ameenda ofisini kwake nika kaita kaje nyumbani, alivyokuja nika mgegedea kwenye chumba cha house girl yy pia hakuwepo, mara paap nasikia geti linagongwa kuchungulia ni wife nilimchukua yule demu na kwenda nae bafuni sehemu ambapo tuna pendaga kufulia nikachukua nguo zote chafu, safi na mashuka nikamfunika huku nikijidai kuwa nafua baada ya hapo nikaenda fungua geti. Wife alivyoona nina mzigo mkubwa wa nguo alinihurumia nikamwambia inabidi nipambane tusimsubirie house girl ambaye alikua ameenda na watoto kwa bibi ya wakati wa likizo. wife alichukua document alizokuwa amezisahau kisha akasepa mm nikaendelea na mgegedo.
Embu wadau tupeni visa vyenu ilikuwaje ukafumaniwa
Ilitokea kumgegeda binti ya Mwalimu mkuu Jirani tu napoishi! baada ya kumsotea sana bila mafanikio, jumamosi moja saa5 kapita kitaa nikamsongisha upya, safari hii kiulaini tu,

km kawaida tukatinga maskani nimepiga cha 1 cha 2-3 nikapumzika . achana na mwanamke mwenye stress! atakurestisha in peace bure!

Demu akalala fofo! nikajipongeza navojua kazi yangu dhidi ya hawa viumbe! nkasema ngoja nimtengenezee Juice ya Parachichi! kweli ikawa tayari!

Nikamuamsha! amsha na wewe! kumbe ni wa zaamaniii! amesha nyooka mkuu! heee! nikamtania ''wacha utani manka amka bebi'' amna kitu! hapo mida imeenda ujue yapata saa mbili usiku! anatafutwa!

Kumbe Dem bana, alisha korofishwa huko kwao amekunywa sumu, inafanya kazi mwilini taatibu inamuondoa!

Nkatoka nje nikaona watu wanamtafuta mpaka wamekata tamaa wanarudi sasa, nikauliza kuna nini wakanipa story! ''Manka hajaonekana kwao tangia saa tano asubuhi!

Duuu nkaona Msala huu ''inanihusu moja kwa moja sasa ''ntakufa na huyuhuyu mzee nilie muuma sikio''

Nikamwambia hali halisi tukaenda kuangalia akakuta ni kweli, maneno yangu, akanipa akili, akasema.una hatari wewe kijana! mimi nalia tu Manka kunitoka Mzee kanifokea ''Nyamaza ukilia utalibeba mwenyewe mimi simo''.......

Mida kidogo kijana mmoja anafika kutoka mpirani,na mijasho tele, kaliona lile kundi la watafutaji akauliza kulikoni, Dogo kapata picha, akasema alipokuwa anacheza mtaani hapo asubuhi alimuona Manka! '' kwa nyarusare!''

Si ikabidi sasa ule umati ujiulize mbona sipo pale? moja kwa moja kwangu!......... yaliyotokea ndugu wana JF, Ni Mungu alinusuru tu! Nashauri vijana msibebe mizigo hovyo bora uoe basi tulia! na usiombe yakukute, kila dakika sema asante Mungu!
 
Endelea Mzee Mpaka Inshu Ilivyoisha iliishaje? Demu Alikufa au Walimuwai na wewe uliponaje Kwenye huo Msala?
 
Pole kaka vipi sasa ukishaoa? Na hauchepuki?
 
Duh, Habari za Kufumaniwa zisikie kwa wenzio. Ni balaa

Binafsi enzi hizo Ndo balehe imepamba Moto, Harakati za kuwa mastaa wa Bongo fleva Ndo ukawa plan zetu.

Tulikua na kigrupu uchwala Cha Masharobaro wa Kitaa washakaji watano.

Kupendeza sana, kuimba Sana na kutokea viwanja vikali na kushindana kuopoa mademu wakali Ndo zilikua zetu.

Sasa kulikua na mchuano mkali wa Kutafta sifa za Mademu wangapi Wakali umegonga na Kati ya hao ulowatoa bikra Ni wangapi.

Basi ikitokea umemtoa demu bikra tena mrembo sana, Basi Ndo tayari unakua ushajihakikishia kua uyo Ni himaya yako, hatakiwi muhuni yeyote kutia maguu Wala kumshobokea tena.

Ila Ni Lazima uonyeshe kwanza ushahidi kwa washkaji ili WASHKAJI WAAMINIE, Salute kibao wakupigie.

Basi wikendi moja, Tuko club.
Kuna mtoto mmoja mrembo Sana nikapata KUCHEZA nae,

Baada ya mda, Mtoto akasema anaomba aende Kwao, Anajiskia haja kwenda haja Kubwa.
Nkamwambia usipate Tabu. Nyumbani sio mbali.
Twenzetu ukatumie choo Cha nyumbani.

Nkajiamini maana kipind hicho mama kaenda msibani, na mzee Yuko safar kikazi.

Kwahiyo ufunguo na uhuru wote ninao.

Kufika nyumbani,
Nkampapasa Mtoto kalainika. Nkavua penzi na chupi nkabakisha shati tu na kuanza KULA mzigo.

Uku dogo akilalamika Sana kua naumuumiza na Ndo mala yake ya kwanza.

Sikujali kelele zake nkajilia tu tunda.

Ile nmemaliza tu, Nawasha taa nkaona damu kibao zimetapakaa maeneo ya tumboni kwenye shati nililovaa.

Dah! Kidume nkajiona nshaitoa bikra na kwa damu zile Lazima nkawatambie washkaji.

Fasta fasta, nkajisemea
"Aisee huku nasubir kupiga Cha pili, Ni lazima nikamtambie kwanza mwana kua yule Mtoto nmemtoa bikra"

Nkamwambia dogo nisubiri mara moja.

Nkatoka bila kunawa kuelekea kwa mshkaji wangu nikampe hizi habar njema.

Nakatiza tu mtaani, pembeni Kuna glosari nkaskia Sauti ya Baba.
"Wee DeepPond, unaenda wapi usiku huu"

Duh! Nlijihisi kunyeshewa mvua ghafla.

Kugeuka nkaona Ni kweli Ni baba ananiita, Yuko na wanzie wanne wamezunguka meza wanapiga bia.

Nkajibu. " Naenda Dukani kununua Sabuni"

Baba: "Hebu njoo uchukue hii mboga nyumbani"

Mimi: sawa baba.

Nkasogea alipo baba.

Ghafla nkasikia mzee mmoja ananigusa.
" Wee Mtoto, mbona unadamu nyingi. Umepatwa na nini."

Kwa kiwewe nkajibu,
"Nimejikwaa nkavuja kidole, kwahyo rafiki yangu akawa anatumia shati langu kunifuta"

Mmh! Wazee wakaguna.

Mzee mmoja akadakia.
" Hebu tuinyeshe hicho kidole"

Duh, nkaona hapa pa Moto.

Kwa kiwewe nkabadilisha ile sentensi ya mwanzo.

Nkajitetea
"Hapana sio kidole changu Mimi kilichoumia, Ni kidole Cha rafiki yangu kaumia Ndo Nlkua Nampa HUDUMA ya kwanza."

"Kwahiyo apa Ndo nilikua naenda kununua Sabuni nimalizie kumsafisha nmemwacha nyumbani"

Mzee mmoja akadakia,
"Hapa Baba Deep inabidi utangulie nyumbani na uyu Dokta (mwenzao mmoja alikua doctor by profession) muone mtamsaidiaje uyo mwenzie, Afu wee endelea na Safari yako kalete iyo Sabuni."

Nkasema poa,
Nilipotoka pale fasta nkarudi home na kumwambia binti vaa fasta usepe mzee anafika mda SI mrefu.

Ile nmemshikia binti viatu, binti mwenyewe Ndo anamalizia kufunga vifungo vya blauzo tunatoka Ndo nafungua mlango kutokea sebleni.

USO KWA USO NA BABA MZAZI AKIWA NA YULE MWENZIE DOKTA.

Duh! Niliishiwa nguvu kabisa.

Mzee akauliza
"Huko ndo ulikoenda kufata sabuni?"

Sijajibu, Dokta nae akamuuliza binti...
"Wee ndo uliumia kidole Cha mguu?"

Binti akasema "Hapana"

Mzee akasema "hebu wote turudi ndani"

Dokta akasema "Haina haja, wee binti potea haraka Sana eneo hili. Halafu wee DeepPond Rudi ndani haraka Sana"

Nikarudi ndani fasta, binti akaenda nkawaacha mzee na Dokta kibarazani wanajadili.

Baada ya mda,
Mzee akarudi ndani na kunifungia kwa ndani Kisha yeye akaondoka pamoja na Dokta.

Midaya saa 8 usiku mzee karudi,

Akaniita sebleni akiwa na mwanzi wa maana.

Akasema
"Mwanangu umenitia aibu, mwanangu umenidharirisha.
Mwanangu umeitia familia yetu katika mikosi"

"Kutokana na maelezo ya yule Dokta inaonekana zile damu zimetokana na wewe kufanya mapenzi na mwanamke ambaye yuko kwenye siku zake."

Akanambia
"Sina mengi ya kuongea, naomba ulale kifudi fudi na mikono yako iweke nyuma"

Kisha mzee akanifunga miguu na mikono na kunining'iniza sebleni juu ya dari KICHWA chini miguu juu (nyumba haikua na Ceiling board)

Aisee nilikula stiki za kutosha mpaka adhana ya alfajiri ndo kaenda kulala.

Baada ya siku kadhaa kupita nakutana na yule binti anakiri kabisa kua
"nikweli siku ile nilikua blidi"

Dah! NILIUMIA SANA,

Aisee, SITOSAHAU kabisa jinsi zile Tambo za kutoa bikra zilivonitokea puani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa stick, vp dem uliendelea nae?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea Mzee Mpaka Inshu Ilivyoisha iliishaje? Demu Alikufa au Walimuwai na wewe uliponaje Kwenye huo Msala?
Yaani mkuu wee! acha kabisa kabla hujafa hujaumbika, ni ndefu ila ntajitahidi ku -summarise, ilkuwa hivi;

Baada ya kugundua amekufa nilimfunika vizuri kikawaida, nikatoka nje nikaungana nao kumtafuta huyo Manka,

Kitanda nilichotumia kufanyia matusi ni aina ya Banco, alikitumia mjomba zamani. na vitanda hivi spring zikichoka godoro linaingia ndani bwiii! hivo nilipo piga shuka baba mkuu kikawa flat,

wakati huyo dogo anawasili kutoka mpirani anaropoka kule kuhusu kumuona Manka, nilikuwa tayari nimesha jichomeka kwa baadhi ya makundi ya watafutaji.

Hapo ukumbuke baadhi yao walisema simo ktk kundi la watafutaji wengine wakasema tulimuona yumo! haya niliyapata kinamna fulani, ktk giza hilohilo, wakati wanaongea!

Hapo ujue siwazii kipigo tena, ambacho huenda kingekuwa nafuu kwangu, nawaza ntakavo kula, kitanzi tu, ndiyo halali yangu kifupi nilishakufa nusu, nikajua mimi ndo basi tena, naondoka.sitarudi kitaa.

Nawaza sasa sijui nikimbie au nikae tu, hata nikikimbia serikali huwezi ikimbia, sitafika popote! nikasema tu potelea kwa pote!

Kwa kuwaza hivi akili yangu ikawa sugu ghafla, mwili ukafa ganzi sitetemeki tena yaani ''imekuwa imekuwa hivo hakuna namna''. Mungu akitaka sawa asipotaka sawa .

Nikajua watanifuata kwangu hawatanikuta hivo watanitafuta tu, nika- buy time kidgo, kwa kujiweka mbali kwa muda! hapo tayari watu wamesha zingira kibanda changu,kwa hamu! ili nifumaniwe! napate kichapo cha mbwa mwizi.

Humo sasa ni mchanganyiko kuna wabaya wangu na wema wangu, mmoja wa wabaya wangu alikuwa mdogo wangu wa 3 nyuma, kabisaaa toka nitoke, alitokea kutonipenda tu, ikawa hivo!

Wengine madrishani, mlangoni wanasikilizia, km kuna sauti za mahaba zinasikika, na wengine utani humohumo! wanaropoka kifisi maji! leo unalo!

Shilawadu faster kama kawaida hawa chelewagi ''kumbe upo Nyarusare unatafutwa'', haraka nenda, kwako, kuna wageni wako, wengine wenye roho nzuri wanakwambia kabisaaa, km uko huku umepona nenda tu kawatowe shaka!

Haya yote naambiwa na washkaji lkn moyo haupo kabisa! najua mi ndo bye! bye! hapo nimevalia kama jezi za mpira! nasindikizwa na kundi kwenda kwangu, humo njiani sasa, watu hawaamini wanajua nilikurupushwa mazoezini tu, sijui lolote!

Kwa mbali ninakaribia kwangu kwa mwonekano wangu, naona km watu wanatawanyika hivi kiaina , km kukata tamaa vile, ile shauku ya kunifumania inapotea, nika sikia wana sema ''mtu mwenyewe huyu....''

Wengine una bahati, wengine Aaaaaa!hhh! wengine hakuna afungue tu, hawaminiki hawa! mafisi maji!
Wengine acheni tutimize wajibu, si nikafungua mwana, nikaingia nao! pigwa sachi chooni kila sehemu.

Mwisho kabisa mlevi mmoja akachungulia uvunguni kilevilevi! haraka haraka, akanyanyuka, wakawa wanatukana na kusonya! mnakaa kaa viambazani na watoto wa watu,

Hawakugundua kuwa ndani ya kitanda cha banco kuna mtu kwa namna kilivo pigwa flat, baada ya ile search ndiyo wakanambia shida yao ni nini!,,,,,
 
Back
Top Bottom