Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi.
Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia kupata ujuzi.
Nakumbuka ilikuwa ikitokea shida/tatizo la umeme hao Olevel wanao soma mkondo wa umeme (Electrical) wanakuja kutatua wakati si tunao jiita form six tupo ila tuna theory tu ya Sayansi 🤣
Wanaume wazima tunakuja kubadilishiwa taa na wadada wa form three au form four 🤣🤣🤣 HIvyo hivyo kwa issue ya maji plumber nao wanakuja kufix.
Nakumbuka mengi sana ila mengine mtayasema nyie Mimi nilisoma Tanga School (Tanga Technical Secondary)
The first Government Secondary School in Tanzania.
SERVICE NOT SELF
Tanga shule ya Sifa. Tangu enzi Jerumani sifa ze Zinasikika.