Wale Tulisoma Advanced kwenye Shule za Technical

Oyaa hii UP ilikua shida sana kwa sisi watu wa BAM. Yaani umenikumbusha mateso ya advance.
Wewe acha tuu mzee na mimi nilikuwa wa BAM pia UP ilikuwa kiboko

yalikuwa mateso kweli kweli.
 
Nmesoma ifunda tech sec school
Kuanzia olevel hadi adv
Olevel nilisoma Civil engineering option ya brickwork and masonary vilevile adv nmesoma PGM
Safi sana hongera mkuu embu tuambie ile elimu ya technical kuna unafuu

wowote ilikupa advance na chuo kikuu ukilinganisha na wale ambao
hawakusoma tech Olevel. ?
 
Safi sana hongera mkuu embu tuambie ile elimu ya technical kuna unafuu

wowote ilikupa advance na chuo kikuu ukilinganisha na wale ambao
hawakusoma tech ,
HAKIKA.inafaida nyingi hadi unamaliza kidato cha nne unakuwa na ujuzi kiasi fulani(kama ulikuwa unazingatia) na kama ukifanikiwa kwenda chuo kwa fani hyio hiyo unakuwa na uewelewa wa mambo mengi yanayohusu fani hio
 
Safi sana hongera mkuu embu tuambie ile elimu ya technical kuna unafuu

wowote ilikupa advance na chuo kikuu ukilinganisha na wale ambao
hawakusoma tech Olevel. ?
Nimesoma Moshi Technical form 1 - form 4 then advance nikasoma PCM na Chuo nikasoma Engineering. Asikuambie mtu elimu Ile niliyoipata O level ilinisaidia sana advance pamoja na Chuo.
Huku Chuo mnajifunza theory tuuu but real practical nilifanya nikiwa pale Moshi Technical.
Aliyesoma Chuo engineering ukimpeleka mfano kwenye lathe machine hawezi itumia but Mimi natumia machine yeyote hunidanganyi.
Ajira yangu ya mwanzo ilikuwa kwenye kiwanda na amini niliheshimika sana na ma-technicians kwasababu sikuwa mtu wa mdomo mdomo vitendo zero!!!😂 nilikuwa kweli engineer mwenye kuleta solution za matatizo.

Kutii-Kuwajibika- Kubuni - Sekondari ya Ufundi Moshi!
 
HAKIKA.inafaida nyingi hadi unamaliza kidato cha nne unakuwa na ujuzi kiasi fulani(kama ulikuwa unazingatia) na kama ukifanikiwa kwenda chuo kwa fani hyio hiyo unakuwa na uewelewa wa mambo mengi yanayohusu fani hio
Ni kweli kabisa inakufanya unakuwa mbobezi kwenye fani yako.
 
Dah aise nimeipenda kweli hio ndio Engeering ya vitendo

Sio engineer hawezi kuwasha mtambo anakuwa na maneno mengi tuu
shule za technical ziendelezwe vizuri ndio ziweka msingi wa sayansi
na technology ya kweli kwa wanafunzi.

Moto wenu wa shule nao upo vizuri sana.
 
Technical School walikua wanafaidika sana na Engineering Science kama mbadala wa Ordinary Physics
Unakuta Darasa zima linapiga A. Wakati Ordinary Physics unakutana na Abbot hizo A zinakua za manati
Kwamba Engeering Science ni nyepesi zaidi ya Ordinary Physics au una maana gani?
 
Ujakutana na haya maswali

Unabet

Je unataka mkopop
Je unataka kukopeshwa kiasi gani
Je
Je....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…