Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli kwenye kufaulu A za kutosha kwa upande Engeering Science nadhaniTechnical School walikua wanafaidika sana na Engineering Science kama mbadala wa Ordinary Physics
Unakuta Darasa zima linapiga A. Wakati Ordinary Physics unakutana na Abbot hizo A zinakua za manati
Ndio ni nini mkuu sijaelewa?Ujakutana na haya maswali
Unabet
Je unataka mkopop
Je unataka kukopeshwa kiasi gani
Je
Je....
HongeraI am now a Freelancer Sir, despite of being busy solving University Physics 🤣
A level 1993 - 1995 Tanga Tech historia isiyofutika wakuuMimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za
ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea
shule ambazo sio ya ufundi.
Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa sababu wana jifunza ufundi
kwa vitendo, wana karakana na mitambo ambayo inawasaidia
kupata ujuzi.
Nakumbuka ilikuwa ikitokea shida/tatizo la umeme hao Olevel
wanao soma mkondo wa umeme (Electrical) wanakuja kutatua
wakati si tunao jiita form six tupo ila tuna theory tu ya Sayansi 🤣
Wanaume wazima tunakuja kubadilishiwa taa na wadada wa
form three au form four 🤣🤣🤣
HIvyo hivyo kwa issue ya maji plumber nao wanakuja kufix.
Nakumbuka mengi sana ila mengine mtayasema nyie
Mimi nilisoma Tanga School (Tanga Technical Secondary)
The first Government Secondary School in Tanzania.
SERVICE NOT SELF
Tanga shule ya Sifa.
Kwa zamani ni wachache sana wanakwenda Advance, wengi walikuwa wanakwenda technical college wachache sana advance kama ilivyo kwa waliosoma shule za kawaida wachache sana walikuwa wanachaguliwa technical collegeNi sawa mkuu lakini kumbuka hawaishii pale nao wanaendalea
na Advance hadi chuo kikuu ila katika hiyo level ya kabla ya kufika huko chuo kikuu
wanakuwa na uwezo wa kuslove baadhi ya mambo tofauti na
na ambao hawakusoma technical schools Olevel.
Hongera tena mkuu hali tete uraiani huku. 😂Hongera
Kuna siku hiyo hali itabadilika na utafurahia matunda ya elimu yakoHongera tena mkuu hali tete uraiani huku.
Ni kweli lakini walikuwa more practical zaidi. Ila kwa sasa nadhani ni uamuzi wa mtu.Kwa zamani ni wachache sana wanakwenda Advance, wengi walikuwa wanakwenda technical college wachache sana advance kama ilivyo kwa waliosoma shule za kawaida wachache sana walikuwa wanachaguliwa technical college
Maana tofauti ilikuwa kwenye somo moja wao wanasoma Engineering Science (physics yao) alafu huku kwingine unapiga Physics
Ni kweli kabisa upo more positive, asante sana.Kuna siku hiyo hali itabadilika na utafurahia matunda ya elimu yako
Ndio Mkuu.. somo jepesi sanaKwamba Engeering Science ni nyepesi zaidi ya Ordinary Physics au una maana gani?
Sawa sawa niliona wanasoma projectile, circular motion nakadhalika.Ndio Mkuu.. somo jepesi sana
Sawa sawa, na Physics sio mchezo ni kinoma kuanzia Olevel, advance ndioVijana wengi Form 6 waliotoka Technical walikua wanafeli sana tofauti na waliofanya Pure Physics, Maths & Chemistry.. ingawa walikua wanajivunia Additional Maths
Dishi limeyumba huyo, tahila la Jf tangu miaka iyo,Ndio ni nini mkuu sijaelewa?
Hatari kweli kweli kwamba mbili haishiki moja haikai 🤣Dishi limeyumba huyo, tahila la Jf tangu miaka iyo,
Ndio roho ya utajiri wa kina Max huyo..............
Circular motion vile viswali vya Nelkon.. unavipigA ndani ya saa 1 vyote!!Sawa sawa niliona wanasoma projectile, circular motion nakadhalika.
Siku hizi rahisi tu unakuta mtu katoka shule za kawaida anakwenda technical college, zamani mwanafunzi mwenyewe ndo anataka kwenda FTC mpaka na sie tusiokuwa wa ufundi tulikuwa tunawinda kwenda huko matokeo yake unajikuta umetupwa PCB na wengine PCMNi kweli lakini walikuwa more practical zaidi. Ila kwa sasa nadhani ni uamuzi wa mtu.
kwenda Diploma au kwenda Advance.
Kiingereza haikupendi mkuu '...despite of..!!'.I am now a Freelancer Sir, despite of being busy solving University Physics 🤣
!Wanaume wazima tunakuja kubadilishiwa taa na wadada