Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Nilienda zanzibar nungwi
Nilienjoy sana
Bahari safi,beach nzuri zimechangamka,maji mda wote yapo hata lowtide yapo yakutosha.

Lodge kuanzia dola 30 kuendelea ila zinapanda kukiwa high season.

Nilipata pia marafiki wawili moja from uk mwingine from egypt.

Nungwi kuna warusi wengi wamewekeza kwenye vilodge pia wanakuja sana vacation kipindi cha baridi kwao huko.





 
Mkipata muda kidg mje karatu aisee kuna place nzur sana inaitwa marera mount view camp
 
Kuna kahotel kamoja kako Bagamoyo kanaitwa Firefly niliendaga na famikia Christmas [emoji319] moja. Tulienjoy sana

Ukitaka kuiona tazama wimbo wa Marioo - Ifunanya wameshuti pale.
Boss Bei elekezi ipoje per night?
 
Vipi kuhusu forodhani wakuu kufika pale inagharimu kiasi gani?.
Kama nipo dar
 
Umenena Watu wengi wamekariri Kula bata ni Mademu na Bia Bar kwisha lakin kuna raha sana katika kufanya Vocation una refresh sana Mind kichwaa kinakaa sawa mimi sina pesa kivile lakin huwa najibana napiga vocation kwa mwaka mara 1

Vocation ndio kitu ninachokipenda sana View attachment 1955524View attachment 1955525
 
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.

Karibu uweke comment yako.
Nimetembelea Ngorongoro,Talangile,Lake Mnayara Now naPlan kuingia Serengeti nantalala ndani ya Hifadhi nachukua kibali cha mchana ili nilale Ndani ya Hifadhi

Ukipata Pesa Jitoe OUT ukarefreshi Mind
View attachment 1955533View attachment 1955534View attachment 1955536View attachment 1955535
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…