Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Kumbe unauliza kwa Tanzania..kule kwetu Lushoto ni much better kupumzika..lakini binafsi kabla sijafa kwa duniani kuna kijiji kiko swis kinaitwa Wengen aisee nataka nikaenyoy safu za milipa ya alps..kule ni eden aisee,sio kwa usafi na mazingira yale..!
 
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.

Karibu uweke comment yako.
KITOVUNI CHATTLE
 
kuna sehem Holland inaitwa giethoom au village without roads pazuri sana unaweza kucheki you tube andika village without ROADS utaona
 
Uzima ukiwepo lazima nifike Visiwa vya Vanuatu,Kiribati,Tonga,Tuvalu Como, na Hawaii
Upepo wa pesa ukinitembelea
Pataya Indonesia na Madagascar yote nikatalii life style la kina Dj Andy Rajoerina!
 
Ndyo n kweli kwenda Dubai n bei che kiaina nauli kwa Economy unaweza kwenda hata kwa 580k
Kwenda naona sio shida...shida kubwa ni hotels na mutu ya kukuonjesha maendeo...hahhahaha ni majanga lkn kama huna mwenyeji wa kukutembeza...ACHa nianze kutafuta muarabu mwenyeji
 

Mkuu nimekukubali.
Nakazia vacation ni muda wa ku-rejuvenate. Tunahitaji sana mapumziko kutokana na purukushani za maisha.
Tafuta mahali tulivu nje ya mazingira ya kila siku na pumzika/fanya vitu tofauti.
Mfano kwa aliyeleta mada: Gibbs from/to Ngorongoro crater ukapitia view ya Lake Manyara.
Stone town ukaenda spice farm (utajifunza mengi) ukamalizia na sunset view.
Jaribu a day trip kati ya routes za mlima Kilimanjaro dhumuni ni kufika kituo au camp moja kwenda nyingine. Furahia mazingira, nyoosha miguu.
Lushoto tips umeshapewa na wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…