Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Fukwe za Lake Nyasa hasa Matema zile view za milima kando kando ya ziwa inavutia sana huku ukicheza na maji. So far mimi na familia yangu tunapenda kutembea inaleta upendo na furaha.

20210901_142022.jpg
 
Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.

Karibu uweke comment yako.
Horizon Beach, Bagamoyo.
 
Sorry naombeni kujua sehemu nzuri kwa Zanzibar, ili ni enjoy na mtu wangu (tupo wawili tu)..naombeni location na bajeti ila boti kutoka Dar nataka ile boti nzuri kabisa kushinda zote
tumia ndege mkuu hahahah enjoy kama mko wawili tu
 
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.

Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
hizo bei wako serious kweli? hebu watupe idea how can it be possible halafu tujitose pia
 
Ngarenanyuki arusha kuna vivutio vingi kule mi naona ndo ulaya ndogo ile
 
Kinukamori Marangu mtoni Moshi ...very cheap and affordable to everyone na uta enjoy...tatizo ni ya day trip tu utaogelea na kufurahia maisha

hata huku kijijini kwetu mambo ni motooooo
Ile location ukipiga picha zinakuwa nzuri sana...ila panahitaji maboresho zaidi
 
Back
Top Bottom