funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Bagamoyo pia kuna hotel zilizoko ufukweni na ni tulivu sana. Pia ni mji wa kitalii hivyo hotel zina live band flani hivi amazing na kuna kina Msafiri Zawose huko wanaimba na zeze kabisa. Kuna maisha fulani ya kitalii ila uwe na mpunga kidogoNimekupa Like Mkuu...
Ila Vacation wapi
Lushoto nasikia Kuna Hali ya Hewa Nzuri Baridi na Miti au kuna kingine?
Bagamoyo nasomaga tuu Kwenye history kuwa kuna Magofu na Nyumba za Kale,Sijui Kama Kuna Kingine! Au kuna Kingine?