Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar kuna Pemba na Unguja so sijui unataka kwenda kisiwa gani?.Sorry naombeni kujua sehemu nzuri kwa Zanzibar, ili ni enjoy na mtu wangu (tupo wawili tu)..naombeni location na bajeti ila boti kutoka Dar nataka ile boti nzuri kabisa kushinda zote
MKUU KUNA SEHEMU KAMA KAJIFOREST ZISLAND FULANI IVI NAZANI IPO KOROGWE NDANI NDANI , PANAITWA MAGOROTO DAAH KWA BATA HATARIIIIHabari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania.
Karibu uweke comment yako.
ndio magoroto forest ni noma kakaMKUU KUNA SEHEMU KAMA KAJIFOREST ZISLAND FULANI IVI NAZANI IPO KOROGWE NDANI NDANI , PANAITWA MAGOROTO DAAH KWA BATA HATARIIII
Hapo kwenye hotel nilidhani gharama sana kumbe ni kutojua!Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200 , maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
[emoji16][emoji16]$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.
Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
Kumbe kuna nyingine ukiacha boat za Azam?Boti panda zanzibar one ufurahie maisha bakhresa jina tu ila ukitaka kuthibitisha kwenda panda zanzibar one kurudi panda kilimanjaro halafu ulete mrejesho hapa
Matema Beach Kyela na pia Beach ya Ziwa Tanganyika Kigoma ni sehemu nzuri pia.Local
Bagamoyo
Zanzibar
Lushoto.
Tanga
kwer?Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200 , maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
25 x2 go and return.Sorry naombeni kujua sehemu nzuri kwa Zanzibar, ili ni enjoy na mtu wangu (tupo wawili tu)..naombeni location na bajeti ila boti kutoka Dar nataka ile boti nzuri kabisa kushinda zote
Kweli mkuu mimi nataka mwezi wa 12 niende mikumi na familiaIla wadau vacation ni muhimu sana kuweka kichwa sawa.
Hata kama umepigika kiasi gani jitahidi kwenda vacation at mara moja kwa mwaka ukakae sehemu na familia hata siku mbili tatu. Inasaidia sana kutuliza kichwa na kuweka muunganiko wa familia.
Maisha mafupi haya tusiishie kuchangia harusi tu, tuweke na akiba kidogo kwenda vacation na familia hata mara moja kila mwaka. Kuna raha sana kukaa fukwe za bahari na familia zetu. Kubadilisha mazingira ya nyumbani na pia kula misosi tofauti na ya nyumbani.
Napenda vacation
hayo unayohis magofu ni vile tu hayajapewa kipaumbele na meng yanaharibika kwa kukosa ukarabat.lait yangewekwa kiukarabat na kurudisha ile hadh ya mji mkongwe na watu wangejaa kwenda kupata ile ladha ya mji wa kale lakin ambao huduma zake zipo uptodate,Jamani hapa Bagamoyo kuna Nini cha Ziada?
Magofu au?
Sijaelewa?
Lushoto Unamaanisha Hali ya Hewa au Kupumzika Au Kuna Vitu Vya Kushangaa?
Nimeuliza tuu ili Kujua
elimu zaid inahitajika hasa hasa upande wa promotion.Nimekupa Like Mkuu...
Ila Vacation wapi
Lushoto nasikia Kuna Hali ya Hewa Nzuri Baridi na Miti au kuna kingine?
Bagamoyo nasomaga tuu Kwenye history kuwa kuna Magofu na Nyumba za Kale, Sijui Kama Kuna Kingine! Au kuna Kingine?
Per one night kulala ni ngapi na chakula how much.Ndio kalekale, kazuri sana halafu wanapapenda wazungu sana sana. Tulikaa pale siku tatu tukajihisi kama tupo ulaya flani. Pia hata bei sio rafiki kwa wazalendo wanalipa kwa USD
Kwa Eskimo people Ina unalala kwa zile nyumba zao za barafu unaenjoi SanaICELAND. Was nice vacation..
Hapo kwenda kambi ya wajeda Kuna Nini hapo ama ilo ziwaKuna lake duluti hapa ni pazuri na hakuna cost kubwa kama upo arusha tembelea hapo uenjoy
karema kama unatokea mpanda mjin njia yabuvinza? kabla hujamaliza ile lami?Mpanda Katavi Ikola Mwese na Karema
Kagera Karagwe na Kyerwa
Lamadi na pale makào makuu ya wilaya Busega
Tembelea huko hutajutia viburudisho vya kutosha na mazagazaga mengineyo
Na hela hii juzi tu nimeitoa kwa Cfd brokerHapo kwenye hotel nilidhani gharama sana kumbe ni kutojua!
Asante kwa information!