Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200 , maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Nmeipenda hii kumbe nikiwa na million 3 natoboa?

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200 , maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kuridi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi.

Sema nikirudi ntakuwa nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
 
Kama hujawahi kutoka nje ya nchi na unataka kuona dunia ya kwanza ikoje nenda Dubai. Gharama hazitishi na visa yake inapatikana kirahisi. Nauli kwenda na kurudi around $500, hotel siku 3/4 around $200 , maana yake ukiwa na $1,000 unapata na pocket money $300.
Dah kumbe gharama za kawaida.. ngoja niweke target next year.
 
$1,000 si ni kwenye Tsh 2.3M kwahiyo kumbe inatosha kabisa kwenda na kudi? Ngoja niache uzembe niingie hata Dubai kuhusu kulala nitalala hata stendi
Sema nikirud ntakua nimechoka sana hata hela ya daladala nitakua sina
[emoji3][emoji3][emoji3] lakini utakuwa umeweka rekodi
 
At the rooftop of afrika pia ni sehemu nzuri sana ya vacation
Screenshot_20191209-204651.jpg
 
Ila wadau vacation ni muhimu sana kuweka kichwa sawa.

Hata kama umepigika kiasi gani jitahidi kwenda vacation at mara moja kwa mwaka ukakae sehemu na familia hata siku mbili tatu. Inasaidia sana kutuliza kichwa na kuweka muunganiko wa familia.

Maisha mafupi haya tusiishie kuchangia harusi tu, tuweke na akiba kidogo kwenda vacation na familia hata mara moja kila mwaka. Kuna raha sana kukaa fukwe za bahari na familia zetu. Kubadilisha mazingira ya nyumbani na pia kula misosi tofauti na ya nyumbani.

Napenda vacation

Nimekupa Like Mkuu...
Ila Vacation wapi
Lushoto nasikia Kuna Hali ya Hewa Nzuri Baridi na Miti au kuna kingine?

Bagamoyo nasomaga tuu Kwenye history kuwa kuna Magofu na Nyumba za Kale, Sijui Kama Kuna Kingine! Au kuna Kingine?
 
Back
Top Bottom