Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

Kama hata zina milion 2 zina nafuu.. mi sina hata laki 3 kwenye akaunt zote 6 ukichanganya kwa pamoja
JamaniπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,, asa zote za nini mkuu si bora utembee na hela zako cash kama ni hivyo πŸ™ŒπŸ™Œ
 
🀣🀣🀣🀣Kumbe?
 
Zinajaa aje sasa? Mpaka ufanye vibarua vya kujaza akaunt ni leo mkuu?
Acha nifunge nibaki na mpesa πŸ˜‚
Nakumbuka wakati niko shule, kila bank ikija kufanya matangazo nafungua accounts, hadi nakuja kumaliza nlikua na accounts kama5 hivi halafu hazina kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
nitazijaza helazote usijali
 
Nakumbuka wakati niko shule, kila bank ikija kufanya matangazo nafungua accounts, hadi nakuja kumaliza nlikua na accounts kama5 hivi halafu hazina kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
We unafikiri mimi nimefikishaje hiz 6?
Yan mi sioendagi kuwakatisha tamaa watu wa sales wa ma benk.Wakinishawishi kufungua akaunt wala sina hiyana, nafungua tu! πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…