Wale tunaotumia akaunti zaidi ya moja tukutane hapa

inakuwa ngumusana kuzikontroo.
mana inahitaji muda uongo mwingi kutosahau kumbukukumbu nk

nilitongoza demu na akaunti tofauti akaomba picha nikampa tukazinguana kwenyehela anapenda sana hela nikamblock

nikamfata Kwa akaunti nyingine kakubali freshi tuu alivyo niomba picha nikaachana nae mana ananijua
🤣🤣🤣🤣Kumbe?
 
Zinajaa aje sasa? Mpaka ufanye vibarua vya kujaza akaunt ni leo mkuu?
Acha nifunge nibaki na mpesa 😂
Nakumbuka wakati niko shule, kila bank ikija kufanya matangazo nafungua accounts, hadi nakuja kumaliza nlikua na accounts kama5 hivi halafu hazina kitu😂😂😂😂🙌
 
nitazijaza helazote usijali
 
Nakumbuka wakati niko shule, kila bank ikija kufanya matangazo nafungua accounts, hadi nakuja kumaliza nlikua na accounts kama5 hivi halafu hazina kitu😂😂😂😂🙌
We unafikiri mimi nimefikishaje hiz 6?
Yan mi sioendagi kuwakatisha tamaa watu wa sales wa ma benk.Wakinishawishi kufungua akaunt wala sina hiyana, nafungua tu! 😅
 
Back
Top Bottom