mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,735
Mkuu salute, hyo ni app gani unatumia.Music ndo mchepuko wangu namba moja,[emoji4][emoji4]
Ngoja nikuojeshe ka list kangu kadogo tu ......
Kuna watu wanajua kuimba bana...sio studio za huku kwa mkuu wa mkoa[emoji3525][emoji3525]View attachment 993103View attachment 993104View attachment 993105View attachment 993106View attachment 993107View attachment 993108View attachment 993109
Sent using Jamii Forums mobile app
videorder ni nzuri kinyama kwa wale wapenda ngoma za Youtube na hits za maana...Mkuu salute, hyo ni app gani unatumia.
NB mm huwa napenda sana mziki ya miondoko ya rock ila bahati mbaya siwajuagi mastaa wa hawa miondoko. Anaewajua please niwekeeni hapa list niwatafte
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41] [emoji41] [emoji41]
HahahaaAma kweli watu tupo tofauti baada ya kuona wadau mnaisifia imebidi niudownload kwa kweli sio mzuri maana biti halidundi wala nini bora niskilize zangu kwaito cc container remix c-kay ft moonchild