Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Wale Tusiopitwa na nyimbo za Chris Brown tukutane hapa

Music ndo mchepuko wangu namba moja,[emoji4][emoji4]

Ngoja nikuojeshe ka list kangu kadogo tu ......

Kuna watu wanajua kuimba bana...sio studio za huku kwa mkuu wa mkoa[emoji3525][emoji3525]View attachment 993103View attachment 993104View attachment 993105View attachment 993106View attachment 993107View attachment 993108View attachment 993109

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu salute, hyo ni app gani unatumia.

NB mm huwa napenda sana mziki ya miondoko ya rock ila bahati mbaya siwajuagi mastaa wa hawa miondoko. Anaewajua please niwekeeni hapa list niwatafte

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweli watu tupo tofauti baada ya kuona wadau mnaisifia imebidi niudownload kwa kweli sio mzuri maana biti halidundi wala nini bora niskilize zangu kwaito cc container remix c-kay ft moonchild
 
Back
Top Bottom