Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Oya Sauti inatosha uko?
 

Mbona tupo online na tunatiririka kama kawaida
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukiwa na Iphone una access mitandao mingi kwa ku google, huwezi tu kuingia whatsapp, Insta, Twitter na FB
Sababu hukuinstall vpn kabla hawajapiga pini, mie ni utaratibu wangu simu yangu huwa nabrowse kupitia vpn...hivyo hata sikutambua mpaka niliposikia watu. Nikajaribu zima vpn sikupata kitj.
 

Mkuu mbona tupo Online kama kawaida kuanzia Insta, Gmail, Twitter kwa kifupi tupo kote
 
Kwa data zangu binafsi (na ndicho nakiongelea hapa) watu wa ios wengi hili janga ndo limewapiga zaidi
Wewe lazima ulifaulu form 4 kwa ufaulu wa juu sana. Katika watu walioielewa mada kwa upana ni wewe
 
Wewe acha kubwabwaja sana na kudhania kwamba kila mtumiaji wa iPhone yuko nondo kama wewe. Tukichukua sample ya wamiliki 100 tu wa iOS tukaamua kuwapima kwa uwezo wa kutumia functionalities za iPhone japo kwa 40% percent tu ndio utagundua ubovu kiasi gani.

Ukubali ukatae watumiaji wengi wa iPhone wanaitumia kwa mkumbo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…