Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Mleta mada
Yahakikishe kwanza ndiposa uyafikishe lakini pia je yana umuhimu huko uyapelekapo?
Umepigwa K.O pole sana!
 
option ya kuinstall app pasi na appstore ipo na najua na naweza kuistall

sikia kila kitu ni akili tuh
naamini mm kitu kimoja kama hujui kitu usikae kubisha anii pasi na kuwa na facts

#nkupe highlight kidogo

google jinsi ya kutumia cydia impactor utaelewa sasa
Cydia impactor wakati mm kwny android naulizwa tu unakubali unakataa basi.....hamna longolongo........cydia impactor kwa bongo wakati watumiaji wa iphone wengi ndo wale wakurekodiwa huko IFM wakiruka sarakasi ndo wapewe iphone mpya watajulia wapi hayo ma cydia
 
Mleta mada
Yahakikishe kwanza ndiposa uyafikishe lakini pia je yana umuhimu huko uyapelekapo?
Umepigwa K.O pole sana!
We jamaa una uchungu sana na hako ka iPhone kako chakavu ka Makumbusho 😂😂😂!!! Let a nigga exhale...
 
Cydia impactor wakati mm kwny android naulizwa tu unakubali unakataa basi.....hamna longolongo........cydia impactor kwa bongo wakati watumiaji wa iphone wengi ndo wale wakurekodiwa huko IFM wakiruka sarakasi ndo wapewe iphone mpya watajulia wapi hayo ma cydia
That aint for the dummies, jamaa anaongea very technical stuffs ambazo kwa ma slayqueen na mabishoo wanaotumia Potrait na Snapchat ni ngumu kuelewa kabisa...Makes the phone completely useless to them unless apatikane expert achezeshe madude.
 
Mkuu mbona kila veersion ya VPN ina application yake appstore, watu wanakula internet kama kawaida. Nilikuwa kwa jamaa nikakuta amelala tu na iphone yake, nikamwekea VPN msg whatsapp zikaanza tiririka kama kawaida, instagram kama kawaida kafurahi sana.
Eeh VPN zipo kama buku 3 hivi online. Ishu ni kuifikia hio VPN kwa iPhone ni mziki.
 
Basi itakuwa haifanyi kwenye network flani lakini mimi nimemwashia jamaa hotspot yangu tena ya windows 10, nikamdowloadia VPN toka AppStore, akarudi hewani. Na baada ya hapo amepata had safari ya ghafla.
Hilo ndio iSheep hawataki kuelewa, iPhone bila kupigwa jeki na Android au Windows wanabakia gizani 😂😂😂
 
Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!
Ha ha ha ha ha haaaaah! Sisi mbona tunakula life vizuri tu kwani kunashida gani!?
 
Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23] toka jana hama insta[emoji23], gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!

Nina iPhone tena 11 Mbona Sina shida yoyote
 
Si kweli mkuu natumia iphone na niko online fresh tu tangia jana usipende kuropoka pasipo kuwa na uhakika wa jambo husika
Unaaccess kupitia source gani ya mtandao? Hutumii cellular networks za bongo?
 
Back
Top Bottom