Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

IMG_1864.png

[emoji57][emoji57][emoji57] hiyo hapo sema jingine
 
mm sitaki kujua mnachocomplicate nin ili mradi mm nipo online sijui fb sijui jf mtajua wenyewe hayo mambo hayanihusu[emoji846][emoji849][emoji5][emoji849][emoji846]
 
Thread ni ya kijinga alieianzisha hajielewi mara hawawezi mara walikuwa na VPN kabla sasa hata wewe mwenye android toa VPN yako halafu zima “install apps from unknown sources” uone kama utainstall hivyo VPN kama unavyotamba kuinstall from unknown sources hata mtu wa iphone anaweza akitaka ila kuna hatua za kupitia ungekuwa na iphone ningekuelekeza ila acha nikupuuze tu.
Sema tu hadi u jailbreak tofauti na android unaweza install apps nje ya playstore bila hata ku jailbreak na watumiaji wa iPhone ambao ni wajanja ni wachache sana tofauti na android.....iPhone ni ya watu wasiopenda kusumbua vichwa kila kitu unamezewa basi
 
Lakini ndugu hata android ni hivo hivo mpaka uwe na VPN au si kweli? Sema tu kwenye iphone unanunua app.
 
Hii simu wanaotumia sijui wanaipendea nini, ni gereza hasa
 
Sema tu hadi u jailbreak tofauti na android unaweza install apps nje ya playstore bila hata ku jailbreak na watumiaji wa iPhone ambao ni wajanja ni wachache sana tofauti na android.....iPhone ni ya watu wasiopenda kusumbua vichwa kila kitu unamezewa basi

sio kwelii mzee ' hu jailbreak na mzigo unapiga fresh tuh
 
Wasalaam..

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii😂😂😂 toka jana hama insta😂, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!
Ifike hatua simu za mchina ziheshimiwe mi natumia Xiaomi wao Wana Android na MIVi Yao kwahiyo mi kwangu sina shida ya mtandao
 
Unaperuzi kwenye kisimu cha android hapo af unaleta janja janja 😂
Mkuu mbona kila veersion ya VPN ina application yake appstore, watu wanakula internet kama kawaida. Nilikuwa kwa jamaa nikakuta amelala tu na iphone yake, nikamwekea VPN msg whatsapp zikaanza tiririka kama kawaida, instagram kama kawaida kafurahi sana.
 
Ku sideload apps watumiaji wangapi wa ios wanajua? Hasa wa hapa bongo ambao wengi wanabebaga ma iphone kwa ajili ya fashion tu ila ukiwatikisa kidogo hawajui lolote
Mkuu kuweka VPN kwenye iphone ni sawa na kuweka app yoyote tu, zipo kibao VPN tena za bure kwenye AppStore unless hajui kuhusu VPN ikiwa na maana hata angekuwa na android bado angelala tu maana hajui kuhusu VPN.
 
Back
Top Bottom