Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Hii ni kweli maana me halotel nazunguka ninapotaka, huko twitter sijui maana sipo
Mitandao imekuwa restricted na network provider i.e Vodacom,Tigo,Airtel n.k..this has nothing to do with phone security
 
Unamdanganya nani na kwa faida ipi mzee?

IMG_4869.png

Sina sababu ya kudanganya, mtu kama kashindwa kutumia vpn ni matatizo yake binafsi, mbona hata wenye tecno wanashindwa...
Vpn niliyonayo hapo ipo stable muda wote, we unakomaa sijui iphone mara sijui nini!
 
View attachment 1614762
Sina sababu ya kudanganya, mtu kama kashindwa kutumia vpn ni matatizo yake binafsi, mbona hata wenye tecno wanashindwa...
Vpn niliyonayo hapo ipo stable muda wote, we unakomaa sijui iphone mara sijui nini!
Sawa mzee hapo nimekubali ila inaonesha VPN unayo siku nyingi
 
Back
Top Bottom