Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasalaam,
Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!
Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23] toka jana hama insta[emoji23], gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!
Android OS is the best ever OS to be invented!
π π π π π π π π π πVipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tuliiπππ toka jana hama instaπ, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!
Kwa jeki nyingi
Hawa jamaa ni attention seekers.... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wanjionaga kam ndio walio itengeneza hiyo handset....Wewe acha kubwabwaja sana na kudhania kwamba kila mtumiaji wa iPhone yuko nondo kama wewe. Tukichukua sample ya wamiliki 100 tu wa iOS tukaamua kuwapima kwa uwezo wa kutumia functionalities za iPhone japo kwa 40% percent tu ndio utagundua ubovu kiasi gani.
Ukubali ukatae watumiaji wengi wa iPhone wanaitumia kwa mkumbo zaidi.
Dah, inasikitisha sana! Nna uzi niliwahi kupost kuelimisha watu juu ya VPN years back. Utafute!Umeijua VPN juzi kelele ka mbu wenzio kwenye iOS tunazo hzo VPN since 2009 Leo nyee nyeee nyeee ushamba mwingine ni mzigo kwa familia yako. pole sana
Dah, inasikitisha sana! Nna uzi niliwahi kupost kuelimisha watu juu ya VPN years back. Utafute!
Dah, inasikitisha sana! Nna uzi niliwahi kupost kuelimisha watu juu ya VPN years back. Utafute!
Kwani aliekwambia androids hazina built in VPN ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Bana piga Pre-amp hii haitoshi
Mkuu naomba kufahamu namna ya kuinstall VPN kwenye IOS ππΏNaomba nikujibu na wewe unafahamu options ngapi za kuinstall app kwenye Android? Mie nakutajia zipo nne nitakuomba uzitaje
Sasa tuje Kwenye iphone achana na jailbreak
Kuna njia mbili za kuinstall apps
Kutumia AppStore njia nyingine unaweza download software za iPhone hata kama ni za kulipia kwenye Torrents na ukaiweka kwenye iphone yako kutumia iTune sijui unaweza hoja gani mkuu? Naamini utakuwa na Habari ya usumbufu wote wa nini, nikuambie kabisa tunajaribu uwezekano wa chochote unachofanya Kwenye android kinawezekaba kwenye iOS labda kama una malengo ya kujifunza unauliza ila ukiwa haujui kitu unaishia kukiponda mie naonaga ni aina flani ya ujinga ambapo walternative ya mjini a siku zote ni jambo lililo rahisi.
Wasalaam,