Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23] toka jana hama insta[emoji23], gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tuliiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ toka jana hama instaπŸ˜‚, gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
kmmmmmmmmmk subiri povu hapa
pumbav zao na nyodo zao, wako kwenye gereza la kifahari
 
Wewe acha kubwabwaja sana na kudhania kwamba kila mtumiaji wa iPhone yuko nondo kama wewe. Tukichukua sample ya wamiliki 100 tu wa iOS tukaamua kuwapima kwa uwezo wa kutumia functionalities za iPhone japo kwa 40% percent tu ndio utagundua ubovu kiasi gani.

Ukubali ukatae watumiaji wengi wa iPhone wanaitumia kwa mkumbo zaidi.
Hawa jamaa ni attention seekers.... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wanjionaga kam ndio walio itengeneza hiyo handset....
 
Dah, inasikitisha sana! Nna uzi niliwahi kupost kuelimisha watu juu ya VPN years back. Utafute!

Hawa watu ushamba hauwaishi sasahivi huko mitaani wanahangaika na kulalamika as usual hawana internet
 
Dah, inasikitisha sana! Nna uzi niliwahi kupost kuelimisha watu juu ya VPN years back. Utafute!

Ambacho kinakusumbua hujui kama iPhone Zina VPN tayari ni kufanya settings tu unakuwa hewani bila hata kudownload.
 
Naomba nikujibu na wewe unafahamu options ngapi za kuinstall app kwenye Android? Mie nakutajia zipo nne nitakuomba uzitaje
Sasa tuje Kwenye iphone achana na jailbreak
Kuna njia mbili za kuinstall apps
Kutumia AppStore njia nyingine unaweza download software za iPhone hata kama ni za kulipia kwenye Torrents na ukaiweka kwenye iphone yako kutumia iTune sijui unaweza hoja gani mkuu? Naamini utakuwa na Habari ya usumbufu wote wa nini, nikuambie kabisa tunajaribu uwezekano wa chochote unachofanya Kwenye android kinawezekaba kwenye iOS labda kama una malengo ya kujifunza unauliza ila ukiwa haujui kitu unaishia kukiponda mie naonaga ni aina flani ya ujinga ambapo walternative ya mjini a siku zote ni jambo lililo rahisi.
Mkuu naomba kufahamu namna ya kuinstall VPN kwenye IOS πŸ™πŸΏ
 
Adjustments.jpg

VPN ziko kibao tena mwezi wa kwanza free then unalipia 0.8$ kwa mwezi iko strong balaaa
 
Wasalaam,

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!

Vipi mbona mmetandikwa kombora na wenye mtandao mmetulia tulii[emoji23][emoji23][emoji23] toka jana hama insta[emoji23], gmail, wala ukwaju! Ifike mahali Android ipewe heshima yake inavyostahili!

Android OS is the best ever OS to be invented!

mbona tunatumia VPN mkuu kama wewe tu
 
Back
Top Bottom