Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

ukiwa na Iphone una access mitandao mingi kwa ku google,huwezi tu kuingia whatsapp,Insta,Twitter na FB
Dah, uchawi kweli yani wakati wale team Droid tuna flex tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Better show some #Respek
 
Poleni sana wazee
Nimepanda ndege chap nimeingia mji wa Orlando, naona sasa mambo yamekaa sawa tena. Jana niliteseka sana mpk kudownload hii vpn kwenye laptop. Ilibidi ni download kutoka kwenye android yangu alafu ndio nihamishie setup kwenye laptop. Ambao hawajadownload VPN kwenye iPhone na Macbook imekula kwao babake
 
Wasalaam..

Siku zote mkiambiwa iPhone ni kama gereza mnashupazaga shingo ooh...hamna simu kama Apple iPhone, security kubwa sijui blaah blaah!..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwiii kwiii kwiii kwiii

Ha ha ha ha
 

Acha uongo boss, nipo na Iphone 7 plus hapa, naperuzi instagram bila hata ya hiyo VPN
 
Shida yote hii ya nini? Wakati kwa android hizo vpn ni single click na unazipata free? Iphone sio user friend kabisa sema nyie misukule wa apple huwa hamuoni shida kabisa sijui kwanini
 
Shida yote hii ya nini? Wakati kwa android hizo vpn ni single click na unazipata free? Iphone sio user friend kabisa sema nyie misukule wa apple huwa hamuoni shida kabisa sijui kwanini
Hayo yanaitwa mahaba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eeh bila kufanya hivyo usingetoboa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…