Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

Mleta mada
Yahakikishe kwanza ndiposa uyafikishe lakini pia je yana umuhimu huko uyapelekapo?
Umepigwa K.O pole sana!
 
Cydia impactor wakati mm kwny android naulizwa tu unakubali unakataa basi.....hamna longolongo........cydia impactor kwa bongo wakati watumiaji wa iphone wengi ndo wale wakurekodiwa huko IFM wakiruka sarakasi ndo wapewe iphone mpya watajulia wapi hayo ma cydia
 
Mleta mada
Yahakikishe kwanza ndiposa uyafikishe lakini pia je yana umuhimu huko uyapelekapo?
Umepigwa K.O pole sana!
We jamaa una uchungu sana na hako ka iPhone kako chakavu ka Makumbusho ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!!! Let a nigga exhale...
 
That aint for the dummies, jamaa anaongea very technical stuffs ambazo kwa ma slayqueen na mabishoo wanaotumia Potrait na Snapchat ni ngumu kuelewa kabisa...Makes the phone completely useless to them unless apatikane expert achezeshe madude.
 
Eeh VPN zipo kama buku 3 hivi online. Ishu ni kuifikia hio VPN kwa iPhone ni mziki.
 
Basi itakuwa haifanyi kwenye network flani lakini mimi nimemwashia jamaa hotspot yangu tena ya windows 10, nikamdowloadia VPN toka AppStore, akarudi hewani. Na baada ya hapo amepata had safari ya ghafla.
Hilo ndio iSheep hawataki kuelewa, iPhone bila kupigwa jeki na Android au Windows wanabakia gizani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ha ha ha ha ha haaaaah! Sisi mbona tunakula life vizuri tu kwani kunashida gani!?
 

Nina iPhone tena 11 Mbona Sina shida yoyote
 
Si kweli mkuu natumia iphone na niko online fresh tu tangia jana usipende kuropoka pasipo kuwa na uhakika wa jambo husika
Unaaccess kupitia source gani ya mtandao? Hutumii cellular networks za bongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ