Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.

Najua tupo wengi humu (ingawa nyuma ya keyboard kila mmoja humu anajifanya ni modal man) na tuna sababu tofautitofauti lakini bado tunaweza kushare.

Mwenzenu nimefanikiwa kuoa kabisa na watoto wawili ninao, hata huulizi watoto hawa ni wa nani na wala huwezi kuhitaji DNA kwani tu pamoja kwa kila kitu! Mke pamoja nami mwaka wa 10 huu sasa, ufundi wa viungo vingine kama mikono, ulimi n.k vikitumika kwa umaridadi mkubwa kuziba ombwe........mke nikijaribu kumtishia kumwacha vilio vyenyewe si vya nchi hii; anagalagala hadi huruma. Mara ya kwanza, katika hali hii, nilifikiri anaigiza tu lakini nilipojaribu mara ya pili, tatu hadi nne hali ikawa vilevile huku mke nikimtoa katika eneo linalosifika kwa wanawake kutopenda kuolewa nikapata imani. Sikuishia hapo, nikaitafuta michepuko miwili mitatu nje nako nikaona inaniganda hadi kero.........ile yenye uwezo ilikuwa inanipiga kampani balaa.

Wenzangu mnatumia mbinu gani huko kuwaweka sawa wake/wenza wenu?!!!
Come on out there, let's share!

Angalizo: kamwe siendi chumvini!
Una umri wa miaka mingapi kwanza?
Aina ya vyakula unavopendelea kula ni gani?
Unafanya kazi ya aina gani, namaanisha ni ya kukaa sehemu moja au ni ya kutoa jasho?
Unafanya mazoezi ya aina yeyote?
Unatumia pombe au mihadarati yeyote?

Ukimaliza kimoja mjegeje unatumia muda gani kusimama tena?
Kwann chumvini hutaki...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mkuu bao moja chali ata wewe linakukosesha amni , nilisha zingua siku moja mkuu nikakosa ujasiri wa kutokea demu kabsa , ashukuriwe kimbaumbau mmoja nilipga alikuwa ananisifia hatari nikakaza ata kama alidanganya ila alinisaidia kurejesha makali mkuu , wanawake wananafasi kubwa sna kisaikolojia kukurudisha makali mkuu .
pole sana ila mie ni 2min x 3 basi sijichoshi.
nachosha mwili kutafuta pesa sio kumridhisha mwanamke
 
Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake.

Najua tupo wengi humu (ingawa nyuma ya keyboard kila mmoja humu anajifanya ni modal man) na tuna sababu tofautitofauti lakini bado tunaweza kushare.

Mwenzenu nimefanikiwa kuoa kabisa na watoto wawili ninao, hata huulizi watoto hawa ni wa nani na wala huwezi kuhitaji DNA kwani tu pamoja kwa kila kitu! Mke pamoja nami mwaka wa 10 huu sasa, ufundi wa viungo vingine kama mikono, ulimi n.k vikitumika kwa umaridadi mkubwa kuziba ombwe........mke nikijaribu kumtishia kumwacha vilio vyenyewe si vya nchi hii; anagalagala hadi huruma. Mara ya kwanza, katika hali hii, nilifikiri anaigiza tu lakini nilipojaribu mara ya pili, tatu hadi nne hali ikawa vilevile huku mke nikimtoa katika eneo linalosifika kwa wanawake kutopenda kuolewa nikapata imani. Sikuishia hapo, nikaitafuta michepuko miwili mitatu nje nako nikaona inaniganda hadi kero.........ile yenye uwezo ilikuwa inanipiga kampani balaa.

Wenzangu mnatumia mbinu gani huko kuwaweka sawa wake/wenza wenu?!!!
Come on out there, let's share!

Angalizo: kamwe siendi chumvini!
BADO unaweza improve!!

Punguza mafuta utumbo mpana!pale kwa rectum!

Hakikisha unapata chai usiku isiyokuwa na sukari, weka asali vijiko vitatu kwa kikombe koroga Halafu kunywa!

Utaondoa mzigo kwenye rectum na mashine itasimama kabla na BAADA ya kukojoa!

Wanawake hawaitaji bao nyingi Sana Ili waridhike Bali duration ya erection na friction force!HAPO hutakiwi kuingiza deep kila dakika wakati wa process Bali sugua kingo za kinu kwa libolo fc pande zote na deep mara MOJA moja moja unaingiza!uki deep nusu na ukisugua kingo kwa Muda MREFU haiwezi mwaga mapema wala legea huku deep ukitegea mara MOJA moja!

Ukimaliza tu go back to receipy tea with asali vijiko vitatu!

Ulaji wako usiwe ule wa ulafi bali kiasi with that tea,if you get green tea somewhere in africa it will be good but asali iwe mbichi KABISAAAAA usije ikawa ya kupika!!!

Impotence is a major malady caused by loaded rectum, loaded rectum Hinder those muscles to contract and relax for performance!!!

At least some exercises are included if you are a car sitter daily!!

Car daily seaters a big problem for men! walking is the Best ever exercise of all times!!!

If,just if you're able to avoid this cane sugar do it!go for raw honey bees for good AISEH!!

I rest my case!!!
 
Poleni ila ninadawa yakuleta hamu ya ndoa uume kusimama na kuwa mgumu na kusimamia inshu kila upewapo ushirikiano inatakiwa tujue umri wako vingine uzito, nakuangalia imechakaaje hiyo inshu namatibabu yote ni ml 1 kama imeisha kabisa kama ni ngumu kidogo na pp hazijazeeka ni laki 9 ila jamiiforum dawa hii siwapi mnamidomo ya kipuuzi Baki na shida zenu na wake zenu wagongee na vijana kazi kwenu midomo michafu na mbor imezeeka .
Pia tunaimarisha mwili ili uchangamke usiwe mchovu wakati wa tendo Hilo asilimia yetu ya matokeo mazuri ni makubwa sana .

Dawa ni ya mizizi ya mimea na miti ni mzuri Kwa afya kabisa Kwa wanaume Kuna vipipi vinaladha ya chungwa na Kuna hii ya maji zote zipo kama juice ila matokeo yake ni mazuri ila hapa siwapi hata utoe hela ya nyumba siwapi .
 
Poleni ila ninadawa yakuleta hamu ya ndoa uume kusimama na kuwa mgumu na kusimamia inshu kila upewapo ushirikiano inatakiwa tujue umri wako vingine uzito, nakuangalia imechakaaje hiyo inshu namatibabu yote ni ml 1 kama imeisha kabisa kama ni ngumu kidogo na pp hazijazeeka ni laki 9 ila if siwapi mnamidomo ya kipuuzi Baki na shida zenu na wake zenu wagongee na vijana kazi kwenu midomo michafu na mbor imezeeka .
Pia tunaimarisha mwili ili uchangamke usiwe mchovu wakati wa tendo Hilo asilimia yetu ya matokeo mazuri ni makubwa sana .

Dawa ni ya mizizi ya mimea na miti ni mzuri Kwa afya kabisa Kwa wanaume Kuna vipipi vinaladha ya chungwa na Kuna hii ya maji zote zipo kama juice ila matokeo yake ni mazuri ila hapa siwapi hata utoe hela ya nyumba siwapi .
Wewe na dawa wapi na wapi
 
Ananiacha njiani kila Mara
emoji4.png
DeepPond na mademu zake wamekuja kutuharibia uzi wetu😆

Huu uzi ni wa kufarijiana sisi wa bao moja chali
 
Back
Top Bottom