Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

Una umri wa miaka mingapi kwanza?
Aina ya vyakula unavopendelea kula ni gani?
Unafanya kazi ya aina gani, namaanisha ni ya kukaa sehemu moja au ni ya kutoa jasho?
Unafanya mazoezi ya aina yeyote?
Unatumia pombe au mihadarati yeyote?

Ukimaliza kimoja mjegeje unatumia muda gani kusimama tena?
Kwann chumvini hutaki...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana ila mie ni 2min x 3 basi sijichoshi.
nachosha mwili kutafuta pesa sio kumridhisha mwanamke
 
BADO unaweza improve!!

Punguza mafuta utumbo mpana!pale kwa rectum!

Hakikisha unapata chai usiku isiyokuwa na sukari, weka asali vijiko vitatu kwa kikombe koroga Halafu kunywa!

Utaondoa mzigo kwenye rectum na mashine itasimama kabla na BAADA ya kukojoa!

Wanawake hawaitaji bao nyingi Sana Ili waridhike Bali duration ya erection na friction force!HAPO hutakiwi kuingiza deep kila dakika wakati wa process Bali sugua kingo za kinu kwa libolo fc pande zote na deep mara MOJA moja moja unaingiza!uki deep nusu na ukisugua kingo kwa Muda MREFU haiwezi mwaga mapema wala legea huku deep ukitegea mara MOJA moja!

Ukimaliza tu go back to receipy tea with asali vijiko vitatu!

Ulaji wako usiwe ule wa ulafi bali kiasi with that tea,if you get green tea somewhere in africa it will be good but asali iwe mbichi KABISAAAAA usije ikawa ya kupika!!!


Impotence is a major malady caused by loaded rectum, loaded rectum Hinder those muscles to contract and relax for performance!!!


At least some exercises are included if you are a car sitter daily!!

Car daily seaters a big problem for men! walking is the Best ever exercise of all times!!!

If,just if you're able to avoid this cane sugar do it!go for raw honey bees for good AISEH!!

I rest my case!!!
 
Poleni ila ninadawa yakuleta hamu ya ndoa uume kusimama na kuwa mgumu na kusimamia inshu kila upewapo ushirikiano inatakiwa tujue umri wako vingine uzito, nakuangalia imechakaaje hiyo inshu namatibabu yote ni ml 1 kama imeisha kabisa kama ni ngumu kidogo na pp hazijazeeka ni laki 9 ila jamiiforum dawa hii siwapi mnamidomo ya kipuuzi Baki na shida zenu na wake zenu wagongee na vijana kazi kwenu midomo michafu na mbor imezeeka .
Pia tunaimarisha mwili ili uchangamke usiwe mchovu wakati wa tendo Hilo asilimia yetu ya matokeo mazuri ni makubwa sana .

Dawa ni ya mizizi ya mimea na miti ni mzuri Kwa afya kabisa Kwa wanaume Kuna vipipi vinaladha ya chungwa na Kuna hii ya maji zote zipo kama juice ila matokeo yake ni mazuri ila hapa siwapi hata utoe hela ya nyumba siwapi .
 
Wewe na dawa wapi na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…