Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaida
He he he he
Ngoja nikafukue mafaili yangu , lazima nikutafute.

Unamfahamu Rebecca??
Mmemaliza naye mwaka mmoja, alikuwa mwanaukwata na ndiye aliyekata keki yenu ya ukwata siku ya Graduu
 
He he he he
Ngoja nikafukue mafaili yangu , lazima nikutafute.

Unamfahamu Rebecca??
Mmemaliza naye mwaka mmoja, alikuwa mwanaukwata na ndiye aliyekata keki yenu ya ukwata siku ya Graduu
Mwaka upi huo??
Mwaka wangu hakukuwa na Rebecca.
 
Alinivuruga na Java semester ya kwanza nikapoteana kabisa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha ha ha ha ha
Test ya ya kwanza niilamba 1.5, test two nikalamba 4 course work nikawa na 5.5
Ilibidi acheze makeke atupe free marks kila mtu za 18.

Hapo ndipo nikaingia kwenye U.E na course work ya 23.5

teh teh teh
 
Hahaaaaaaa haaaaa... Ile kitu ilitupoteza wengi!! Sikumbuki coursework yangu lakn ilikuwa ya kuchechemea mbaya licha ya kubustiwa!!
 
Hahaaaaaaa haaaaa... Ile kitu ilitupoteza wengi!! Sikumbuki coursework yangu lakn ilikuwa ya kuchechemea mbaya licha ya kubustiwa!!
Ha ha ha ha
Halafu course ilikuwa na unit 4 aiseee
Majanga tupu.

Mpaka leo Java siipendi kabisa aiseee, nikiona neno import na neno class, akili inaruka kabisa

Ha ha ha ha
 
Ha ha ha ha
Halafu course ilikuwa na unit 4 aiseee
Majanga tupu.

Mpaka leo Java siipendi kabisa aiseee, nikiona neno import na neno class, akili inaruka kabisa

Ha ha ha ha
Haaaaaa ahaaaaaa.. Sijui kama walirekebisha curriculum!! Ile kitu ilikuwa imewekwa pabaya sana
 
Haaaaaa ahaaaaaa.. Sijui kama walirekebisha curriculum!! Ile kitu ilikuwa imewekwa pabaya sana
He he he he
Ile ilitakiwa kwanza watu waanze na C Programming wakishazoea ndio waingie Java.
Sijui kwa nini walianza vice Versa.
 
Wako wapi watoto wa Umendeni na sketi zai Nyekundu?

Wako wapi watoto wa Mama Nenze ambaye baadae alihamia Msalato?

Hahahaa nimeacha mbegu za kutosha!
 
Hahahaaa nakumbuka bwiru boys jirani zangu pale Kitangiri secondary Ila wanangu mlikua ndezi sana sijui kwakua mlikua karibu na milima ya ngedere Ila kitu kimoja kizuri most of them r very smart I appreciate that
 
Kumbe hukumkuta Mwl Nyange wa Maths wewe
 
Hahahaaa nakumbuka bwiru boys jirani zangu pale Kitangiri secondary Ila wanangu mlikua ndezi sana sijui kwakua mlikua karibu na milima ya ngedere Ila kitu kimoja kizuri most of them r very smart I appreciate that
Hakina ninyi watoyo wa Kitangiri sekondari mtakuwa ni watoto wa Mama Nyanda!...mwalimu Sabuni, Selina, Mwombeki, Mashauri, Mtaki, Raphael na wengine kibao!

Aisee miaka inakimbia Mungu wangu!...yani nazidi kuzeeka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…