Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
-
- #221
Kwa hiyo siku hizi kwa kuwa mmekuwa A level pekee najua mmnanata balaa.Kweli, Mwanzoni ilikuwa O'level & A'level...2008 ikawa mwisho kupokea form 1...Hivo form 4 wa mwisho ilikuwa 2011 kama sikosei .
Mwl Rung'wecha alikua na mwanya, kila muda anafurahi tu. Alikua anafundisha na watu walio opt additional maths. Watu walikua wanakata hesabu za advance wakiwa bado o levelSikumkuta mkuu.
Nilifundishwa na Rung'wecha, alikuwa bingwa wa Maths sana miaka hiyo.
Ila ajabu nilienda mpaka chuo nikaja kubanana naye chuoni tukawa tunagombani ama shuttle.
Yani mwalimu wako amekufundisha shule na ulikuwa unamkubali balaa halafu unakutana naye chuoni, hapo ndipo unakuja kugundua kumbe alikuwa wa kawaida tu.
Maisha haya hayako fair kabisa.
Pozi waapi, tulifuata kilichotupeleka tu hayo mengine mbwembwe tu.Kwa hiyo siku hizi kwa kuwa mmekuwa A level pekee najua mmnanata balaa.
Yaani nyie watoto mlikuwa mna pozi za hatari.
Full minato.
Ooooh! Sikufuatilia, kumbe O'level ilirudiIla nasikia 2013 walirudisha o level
YapMwl Rung'wecha alikua na mwanya, kila muda anafurahi tu. Alikua anafundisha na watu walio opt additional maths. Watu walikua wanakata hesabu za advance wakiwa bado o level
Kweli kabisa.Aaah! Wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23], hivi huko mbeleni hukuwa mzee wa kanisa?Kweli kabisa.
Na hili likitambi yaani nimezeeka kabisa aseee
Ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23], ulitumwa na kijiji
Hivi mkuu nini kimeikuta Bwiru asee, enzi hizo ukipata C maths ni kama umefeliYap
Yap
Umekumbuka vyema sana aiseee.
Alikuwa mwaimu kichwa sana, kila darasa lililopita mikononi mwaka alilipika vilivyo.
Miaka hiyo Bwiru Boys ilikuwa inaingia top 20 ya Taifa kila mara.
Siku hizi hata top 400 huwa haiingii.
Hivi unajua siku hizi O level wa umendeni wanaiburuza sana Boys kwenye matokeo??Ila nasikia 2013 walirudisha o level
+++bila shaka ulikuwa ukilala na begi lako pembeni usiibiwe[emoji23]Ha ha ha ha
Na ushamba nao ulikuwa unachangia.
Nilikuwa farm boi fulani hivi enzi hizo.
Ha ha ha ha
Bwiru iliisha baada ya mgomo.Hivi unajua siku hizi O level wa umendeni wanaiburuza sana Boys kwenye matokeo??
Ile Bwiru mlioiacha sio ya sasa hivi.
Madogo hawajielewi elewi.
Bado ipoOoooh! Sikufuatilia, kumbe O'level ilirudi
..Bado ipo?
Hao ni wana chama watiifu wa CHAPUTAWapiga galala ndio watu gani mkuu??
Ndio msamiati mpya nauona leo huu, pamoja nakuishi Bwiru miaka mingi sana
Bwiru toka waondoe fororo na kuweka sukari kwenye uji nadhani akili za watu zilianza kuwaza uji tu.Hivi mkuu nini kimeikuta Bwiru asee, enzi hizo ukipata C maths ni kama umefeli
Hakuna mbwembwe kwenye stage za maisha.Pozi waapi, tulifuata kilichotupeleka tu hayo mengine mbwembwe tu.
Ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23], hivi huko mbeleni hukuwa mzee wa kanisa?
OkyHao ni wana chama watiifu wa CHAPUTA
Na Ksuu ndiye aliyefanya mkakati maalumu wa kuimaliza.Bwiru iliisha baada ya mgomo.
He he he he he+++bila shaka ulikuwa ukilala na begi lako pembeni usiibiwe[emoji23]