Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Kweli, Mwanzoni ilikuwa O'level & A'level...2008 ikawa mwisho kupokea form 1...Hivo form 4 wa mwisho ilikuwa 2011 kama sikosei .
Kwa hiyo siku hizi kwa kuwa mmekuwa A level pekee najua mmnanata balaa.
Yaani nyie watoto mlikuwa mna pozi za hatari.

Full minato.
 
Sikumkuta mkuu.

Nilifundishwa na Rung'wecha, alikuwa bingwa wa Maths sana miaka hiyo.
Ila ajabu nilienda mpaka chuo nikaja kubanana naye chuoni tukawa tunagombani ama shuttle.

Yani mwalimu wako amekufundisha shule na ulikuwa unamkubali balaa halafu unakutana naye chuoni, hapo ndipo unakuja kugundua kumbe alikuwa wa kawaida tu.

Maisha haya hayako fair kabisa.
Mwl Rung'wecha alikua na mwanya, kila muda anafurahi tu. Alikua anafundisha na watu walio opt additional maths. Watu walikua wanakata hesabu za advance wakiwa bado o level
 
Mwl Rung'wecha alikua na mwanya, kila muda anafurahi tu. Alikua anafundisha na watu walio opt additional maths. Watu walikua wanakata hesabu za advance wakiwa bado o level
Yap
Yap
Umekumbuka vyema sana aiseee.

Alikuwa mwaimu kichwa sana, kila darasa lililopita mikononi mwaka alilipika vilivyo.
Miaka hiyo Bwiru Boys ilikuwa inaingia top 20 ya Taifa kila mara.

Siku hizi hata top 400 huwa haiingii.
 
Hivi mkuu nini kimeikuta Bwiru asee, enzi hizo ukipata C maths ni kama umefeli
 
Hivi mkuu nini kimeikuta Bwiru asee, enzi hizo ukipata C maths ni kama umefeli
Bwiru toka waondoe fororo na kuweka sukari kwenye uji nadhani akili za watu zilianza kuwaza uji tu.
Ha ha ha ha ha

Haiwezekani shule iwe ya 500 kitaifa aisee.
Hata kwenye mkoa tu humo humo haifurukuti.

Mimi nadhani madogo wangerudishiwa fororo akili zingerudi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23], hivi huko mbeleni hukuwa mzee wa kanisa?
Ha ha ha ha
Hapana aiseee, uzee wa Kanisa na kutema pumba kote huku wapi na wapi??
 
Back
Top Bottom