Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ameenda wapi?Salama,shem najua kaka hayupo nifikirie na mimi basi![emoji4][emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameenda wapi?Salama,shem najua kaka hayupo nifikirie na mimi basi![emoji4][emoji4][emoji4]
Nasikia amesafiri kwa muda wa mwezi mmoja!Ameenda wapi?
Nipo naye hapaNasikia amesafiri kwa muda wa mwezi mmoja!
Hahahahaha! Niliwahi ingia mkenge kwa mama Ntagaye, nilikuwa na shida zangu binafsi town...Ikabidi nisingizie naumwa kwa kigezo cha kwenda sekoutoure, bwana eeeh, Madam Ntemi kazingua kunipa ruhusa....It was friday ikabidi niende mpaka nyumbani kwa Ntagaye kumuomba ruhusa, kaniruhusu kwa sharti la nikitoka hosp. nipite kwake[emoji23][emoji23][emoji23]Teh mr ndimu na msemo wake "unatepisha/ unatepu tepu" akianza kuponda kitini cha mganda na nyambari utacheka mweeh. Alikuwa swahiba sana na mashati yake hayajulikani kama ni long or short sleeves. Walipata tabu sana after alivyoenda kufanya masters yake uwii
Mkodoko ana vichambo yule jamani,
Mama ntagaye jamani, amazing sana. Bila kusahau hekaheka za kukimbizwa na vibaka, kuoga ziwani, na vyakula esp mikate kuliwa na ngedere. Kaka masanja na mama fortu suala zima la kitchen lol
He he kwa kweli ulichezea sharubu za mama AureliaHahahahaha! Niliwahi ingia mkenge kwa mama Ntagaye, nilikuwa na shida zangu binafsi town...Ikabidi nisingizie naumwa ili niende sekoutoure, bwana eeeh, Madam Ntemi kazingua kunipa ruhusa....It was friday ikabidi niende mpaka nyumbani kwa Ntagaye kumuomba ruhusa, kaniruhusu kwa sharti la nikitoka hosp. nipite kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
J3 yake kaanza kunitafuta....Hosp. sikwenda aisee ilikuwa shida[emoji23]
Acha kabisa...Sema mwisho wa siku alinipotezea tu.He he kwa kweli ulichezea sharubu za mama Aurelia
Mama ntagaye alikuwaga poa sanaAcha kabisa...Sema mwisho wa siku alinipotezea tu.
Ndo uzuri wake, ila akikushushua mbele ya wanafunzi na zile moka zake[emoji23][emoji23] unaomba poo.Mama ntagaye alikuwaga poa sana
Hehe kwa mashushu tu hajambo. Kuna siku kulikuwa na meeting, yeye akaja huku majority ya teachers hawajafika, weee aliongea "yani boss nafika kabla ya wafanyakazi wangu, mkitimia wote ndo mniite", akaondoka. Walimu walinyweaNdo uzuri wake, ila akikushushua mbele ya wanafunzi na zile moka zake[emoji23][emoji23] unaomba poo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama namuona na mwendo wake ule...Hehe kwa mashushu tu hajambo. Kuna siku kulikuwa na meeting, yeye akaja huku majority ya teachers hawajafika, weee aliongea "yani boss nafika kabla ya wafanyakazi wangu, mkitimia wote ndo mniite", akaondoka. Walimu walinywea
Mr Kameo alikuwa na allergy na wapendwa waliokuwa wanasali kwa sauti pale kwenye mawe haha
hivi ulimaliza mwaka gani bwiru girz?He he kwa kweli ulichezea sharubu za mama Aurelia
Parade groundMaisha ya Boys yalikua matamu sana. Siku hizi pamebadilika. Serikali imepaboresha zaidi.View attachment 804455View attachment 804456View attachment 804457View attachment 804458View attachment 804460
Bila kumsahau Besisila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umenikumbusha Ndimugwango, , mapembegashi, ng'ong'ong'o, Mr Kameo, ticha Beka, Masanja food, Masanja mkodoko etc
Boys a.k.a wadudu wa kwenye maharage
Yes Mr Mkwizu, tunaondoka tukamwacha HeadMaster mmoja fisadi hatari [emoji23]Safi sana mkuu.
Kumbe umesoma enzi za Mkwizu??
Ulikuwa electrical au Mechanical au Civil??
Kumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]Hehe kwa mashushu tu hajambo. Kuna siku kulikuwa na meeting, yeye akaja huku majority ya teachers hawajafika, weee aliongea "yani boss nafika kabla ya wafanyakazi wangu, mkitimia wote ndo mniite", akaondoka. Walimu walinywea
Mr Kameo alikuwa na allergy na wapendwa waliokuwa wanasali kwa sauti pale kwenye mawe haha
Hivi huyu besisila ndo yupi, simkumbuki vizuri au ndo sikuwepo enzi zakeBila kumsahau Besisila[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana, simfahamu mkuuH
hivi ulimaliza mwaka gani bwiru girz?
Unamfahamu yustina marwa alimaliza 2009?
Aisee hongera sana.. Hivi hii mende ilitokana na nini?Kumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]
Tukiwaita Mende enzi hizo! Mdada wa Bwiru niliyeruka naye debe la welcome form one hatimaye sasa ni mama wa wanangu! Mlikuwa mnatuzingua na Nsumba lakini nilikuwa nawaelewa sana kuliko Nganza!