Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Teh mr ndimu na msemo wake "unatepisha/ unatepu tepu" akianza kuponda kitini cha mganda na nyambari utacheka mweeh. Alikuwa swahiba sana na mashati yake hayajulikani kama ni long or short sleeves. Walipata tabu sana after alivyoenda kufanya masters yake uwii

Mkodoko ana vichambo yule jamani,
Mama ntagaye jamani, amazing sana. Bila kusahau hekaheka za kukimbizwa na vibaka, kuoga ziwani, na vyakula esp mikate kuliwa na ngedere. Kaka masanja na mama fortu suala zima la kitchen lol
Hahahahaha! Niliwahi ingia mkenge kwa mama Ntagaye, nilikuwa na shida zangu binafsi town...Ikabidi nisingizie naumwa kwa kigezo cha kwenda sekoutoure, bwana eeeh, Madam Ntemi kazingua kunipa ruhusa....It was friday ikabidi niende mpaka nyumbani kwa Ntagaye kumuomba ruhusa, kaniruhusu kwa sharti la nikitoka hosp. nipite kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
J3 yake kaanza kunitafuta....Hosp. sikwenda aisee ilikuwa shida[emoji23]

Hizo heka heka ilikuwa raha sana aiseee!
 
Hahahahaha! Niliwahi ingia mkenge kwa mama Ntagaye, nilikuwa na shida zangu binafsi town...Ikabidi nisingizie naumwa ili niende sekoutoure, bwana eeeh, Madam Ntemi kazingua kunipa ruhusa....It was friday ikabidi niende mpaka nyumbani kwa Ntagaye kumuomba ruhusa, kaniruhusu kwa sharti la nikitoka hosp. nipite kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
J3 yake kaanza kunitafuta....Hosp. sikwenda aisee ilikuwa shida[emoji23]
He he kwa kweli ulichezea sharubu za mama Aurelia
 
Ndo uzuri wake, ila akikushushua mbele ya wanafunzi na zile moka zake[emoji23][emoji23] unaomba poo.
Hehe kwa mashushu tu hajambo. Kuna siku kulikuwa na meeting, yeye akaja huku majority ya teachers hawajafika, weee aliongea "yani boss nafika kabla ya wafanyakazi wangu, mkitimia wote ndo mniite", akaondoka. Walimu walinywea

Mr Kameo alikuwa na allergy na wapendwa waliokuwa wanasali kwa sauti pale kwenye mawe haha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kama namuona na mwendo wake ule...
Mr.Kameo aliwazuia wapendwa wale, akidai mmekuja kusoma sio kupigia watu kelele...Ila jamani.
 
Nakumbuka bwiru boyz kulikua na ticha anaitwa kajuna kalikua na swaga balaa
Comedy nying akiwa anapiga pindi la Gs
Hivi bdo yupo bwiru?
 
Maisha ya Boys yalikua matamu sana. Siku hizi pamebadilika. Serikali imepaboresha zaidi.
20180627_171351.jpg
20180627_171231.jpg
20180627_170941.jpg
20180627_170759.jpg
20180627_171243.jpg
 
Safi sana mkuu.
Kumbe umesoma enzi za Mkwizu??

Ulikuwa electrical au Mechanical au Civil??
Yes Mr Mkwizu, tunaondoka tukamwacha HeadMaster mmoja fisadi hatari [emoji23]
Mimi nilikuwa Electrical Installation! Darasa la Mwl Y. Muganyizi a.k.a Bega (R.I.P)
Darasa letu (Option) nzima tukala div 1!
 
Hehe kwa mashushu tu hajambo. Kuna siku kulikuwa na meeting, yeye akaja huku majority ya teachers hawajafika, weee aliongea "yani boss nafika kabla ya wafanyakazi wangu, mkitimia wote ndo mniite", akaondoka. Walimu walinywea

Mr Kameo alikuwa na allergy na wapendwa waliokuwa wanasali kwa sauti pale kwenye mawe haha
Kumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]
Tukiwaita Mende enzi hizo! Mdada wa Bwiru niliyeruka naye debe la welcome form one hatimaye sasa ni mama wa wanangu! Mlikuwa mnatuzingua na Nsumba lakini nilikuwa nawaelewa sana kuliko Nganza!
 
Aisee hongera sana.. Hivi hii mende ilitokana na nini?
 
Back
Top Bottom