KAJUNA S KAJUNANakumbuka bwiru boyz kulikua na ticha anaitwa kajuna kalikua na swaga balaa
Comedy nying akiwa anapiga pindi la Gs
Hivi bdo yupo bwiru?
Eeh na sisi tulikuwa tunawaita wadudu wa kwenye maharage lolKumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]
Tukiwaita Mende enzi hizo! Mdada wa Bwiru niliyeruka naye debe la welcome form one hatimaye sasa ni mama wa wanangu! Mlikuwa mnatuzingua na Nsumba lakini nilikuwa nawaelewa sana kuliko Nganza!
Wadudu a.k.a boysEeh na sisi tulikuwa tunawaita wadudu wa kwenye maharage lol
Jamani sikuwahi kwenda bugi, hongereni sana
Mie pia sidhani kama namkumbuka.Hivi huyu besisila ndo yupi, simkumbuki vizuri au ndo sikuwepo enzi zake
FUNZA lilikuwa linaboa kweliEeh na sisi tulikuwa tunawaita wadudu wa kwenye maharage lol
Jamani sikuwahi kwenda bugi, hongereni sana
Ukiwakuta sasa walivyoshamiri kwenye maharage, na ole wako kaka masanja akufume unadabodishaWadudu a.k.a boys
Haha kama mende tuFUNZA lilikuwa linaboa kweli
Waooo!!hongera mazeeKumbe nawe ni mmoja wa Bwiru Wasichana!! [emoji23]
Tukiwaita Mende enzi hizo! Mdada wa Bwiru niliyeruka naye debe la welcome form one hatimaye sasa ni mama wa wanangu! Mlikuwa mnatuzingua na Nsumba lakini nilikuwa nawaelewa sana kuliko Nganza!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], alikuwa na uchungu na kile chakula kama anakinunua yeye.....Bila kumsahau baba Lucy...Mama Anord msukuma wa watu hakuwa na neno kabisa...Maisha haya dah!Ukiwakuta sasa walivyoshamiri kwenye maharage, na ole wako kaka masanja akufume unadabodisha
Yesss ndio yeye kumbe unamjuaKAJUNA S KAJUNA
Ndio nawakumbuka vizuri....mdomo wake kuufumba ilikuwa kazi[emoji38][emoji38]ha ha umenikumbusha mbali sana aisee. Me term ya kwanza yote sikugusa ugali, muda wa ugali nilikuwa naassume tu nimeshiba. , na hivi ijumaa ilikuwa siku ya suti mmh. Ila baadaye nilizoea vizuri tu.
unamkumbuka yule mpiga picha alikuwa anaitwa kaka phonce, kama sijasahau na dada vero wa canteen?
Yeah nilisikia mwaya, apumzike kwa amaniNdio nawakumbuka vizuri....mdomo wake kuufumba ilikuwa kazi[emoji38][emoji38]
Hivi ulipata taarifa mafyekeo alishaiaga dunia??
Ndio..R.I.PYeah nilisikia mwaya, apumzike kwa amani
Alikuwaga amesoma FTC, sisi tulipoenda pale kuanzisha A level akawa anavunja namba, aliacha rasmi kufundisha o level. Baada ya semester moja akala shavu LA engineer wa wilaya ya misungwi. Ndo akaona umuhimu wa kurudi shule kutafuta degree.Sikumkuta mkuu.
Nilifundishwa na Rung'wecha, alikuwa bingwa wa Maths sana miaka hiyo.
Ila ajabu nilienda mpaka chuo nikaja kubanana naye chuoni tukawa tunagombani ama shuttle.
Yani mwalimu wako amekufundisha shule na ulikuwa unamkubali balaa halafu unakutana naye chuoni, hapo ndipo unakuja kugundua kumbe alikuwa wa kawaida tu.
Maisha haya hayako fair kabisa.
Kwa mwili wako bro umepata kitambi!!! Kweli yalikuwa maisha magumu tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli kabisa.
Na hili likitambi yaani nimezeeka kabisa aseee
Asante sana, tuligandana tukaenda Tabora A-level, yeye Girls mimi Boys, baada ya Chuo tukawa mwili mmoja!Aisee hongera sana.. Hivi hii mende ilitokana na nini?
Asante!Eeh na sisi tulikuwa tunawaita wadudu wa kwenye maharage lol
Jamani sikuwahi kwenda bugi, hongereni sana
Baunsa alitoka miezi sita badae, nimemaliza 2010 na alitoka akarudi pale pale na mwaka 2013 nilienda nkakuta ndo kafanywa mwalimu wa nidhamuMasaba pia keshafariki.
Unamkumbuka??
Alikuwa ana kilema cha mguu anafundisha Electrical.
Pia nasikia Baunsa yue mashoto yuko jela, amefungwa kwa kosa la kmpiga mkewe mpaka akaua.
Alifariki 2010 nikiwa form 4 ht jeneza nililibebaAmefariki mwaka Juzi bwana!
Hongereni kwakweli na muendelee kudumu.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]..Asante sana, tuligandana tukaenda Tabora A-level, yeye Girls mimi Boys, baada ya Chuo tukawa mwili mmoja!
Aisee jina la Mende tulilikuta origin yake hakuna aliyekuwa na uhakika ila niliwahi kumwuliza anko alimaliza Boys 1988 alisema those days halikuwepo it seems lilianza in early 90's