N'gwanantugwa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 347
- 345
BIG ALIKUWA KWELI BIG BRO....Alikuwa bonge moja hivi tulikuwa tunamuita Big.
Jamaa mgomo ule ulimuondoa pale.
He he he heSiku hiyo nilikunywa kahawa kwa mara ya kwanza ili kuzuia usingizi maana kule porini sikulala kabisa
Hahahahaha! Kile kisanamu kilipewa jina la ZAINA (Jina la mwanafunzi wa kwanza kuingia pale 50's )....Salome liliibukia tu,Ha ha ha ha
Nakumbuka sana tu.
Ila bahati yenu headmaster alitugeuka kwa sababu binafsi anazozijua yeye(teh teh teh).
Ila tulilipiza kwa kuvunja kasanamu kenu pale geti la kuingilia skuli.
Nasikia madogo walikuwa wanakaita Salome.
Waimfanyia fitina jamaa akaondoka aiseeBIG ALIKUWA KWELI BIG BRO....
HIP HOP SANA
He he he he heHahahahaha! Kile kisanamu kilipewa jina la ZAINA (Jina la mwanafunzi wa kwanza kuingia pale 50's )....Salome liliibukia tu,
[emoji23][emoji23][emoji23], aaah wapi.He he he he he
Halafu wewe si ulikuwaga timekeeper wa umendeni wewe???
Hivi sijawahi kukubambia kwenye bugi wewe kweli??
Sitasahau aisee....Nakumbuka maisha ya Bwiru Boys miaka hiyo ilikuwa full mikasa.
Kulikuwa na eneo linaloitwa Mombasa, mahali ambapo vijana wa Boys walikuwa wanazama kuwapiga chabo mabinti wa girls pindi wanaoga.
Sehemu hii ilikuwa maarufu sana maana upande wa Ziwa waiokuwa wanautumia wasichana wa Girls maarufu kama "mende" ulikuwa unatenganishwa na upande wa boys kwa kilima fulani hivi kina mawe ya hatari, lakini vijana walikuwa wana risk life kwenda kula chabo.
Nakumbuka ishu ya headmaster wetu kupindi hicho kulikuwa na tetesi kuwa anapita na mistress wa Nganza, sasa kimbembe kilikuwa ole wenu siku ya debate au bugi(disko) mtoe pendekezo la kuwaleta Bwiru Girls, headmaster ataahirisha hata hilo disko, ila mkimletea mabinti wake wa Nganza, hata usafiri atawapa free.
Nakumbuka misemo maarufu kama kuguga likimaanisha kupiga msuli au kusoma, msemo kama kugenya likimaanisha kufariki, msemo kama fororo ukimaanisha uji usio na sukari, msemo kama mnyambo ukimaanisha mtu mwenye tabia za ubaguzi na kujisikia sikia , msemo kama kudabo ukimaanisha kudrudia msosi mara mbili, form one wakiitwa nguruwe na mingineyo mingi.
Nakumbuka pia visa vya mwanafunzi mmoja alikuwa shombe shombe alikuwa bingwa wa kupita na wake za maticha, mpaka akazaa na mke wa ticha mmoja hivi(Jina tunalihifadhi), akazaa kijana shombe shombe na kuleta mtikisiko mkubwa sana kwenye ndoa ya ticha wetu.
Walimu kama Mazebele, Rung'wecha, Begenyeza, Kissuu, Mchizi Mox, Massaba(R.I.P), Ruhiye(R.I.P) na wengineo wengi.
Nasikia pia kuwa hata Founder wa Forum hii muheshimiwa sana Maxence Mello ni product ya Luthuli Domitory pale njia ya kuelekea ukarani na alikuwa ngugi kweli kweli(just kidding).
Tukumbushane life ya Bwiru aisee.
Ha ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23], aaah wapi.
Namkumbuka vizuri sana, kama sio yeye vile. Kwa misimamo yake sijui aliingiaje kwenye kile chama[emoji23] [emoji23]He he he he
Unamkumbuka Muheshimiwa sana D.C wa sasa alivyongoza mgomo??
Sasa hivi ukimuona kwenye runinga huwezi amini kama ndiye yeye.
Ile camp imetufundisha mengi sana ya kiumeni aiseeeSitasahau aisee....
Maisha ya Bwiru nimatam km
brazil...beach sebulen
Ha ha ha haNamkumbuka vizuri sana, kama sio yeye vile. Kwa misimamo yake sijui aliingiaje kwenye kile chama[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hamkuwa wastaarabu.Ha ha ha ha ha
sasa unafikiri utakubali hapa mbele ya raia??
Hivi kwa nini nyie mende mlikuwa hamtufagilii mnawafagilia Nsumba aisee???
He he he he[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hamkuwa wastaarabu.
Mkuu unakumbuka tukio la trip ya maswa girls[emoji23] [emoji23]He he he he
Hatukuwa wastaarabu sisi??
Watu tunafagia mpaka barabara ya kwenda umendeni daily, mnapita pamefagiliwa??
kwenye debate tulikuwa tunaongea kijentlomeni leo unatuia hatukuwa wastaarabu??
Hahahahhaha!! Chabo je??He he he he
Hatukuwa wastaarabu sisi??
Watu tunafagia mpaka barabara ya kwenda umendeni daily, mnapita pamefagiliwa??
kwenye debate tulikuwa tunaongea kijentlomeni leo unatuia hatukuwa wastaarabu??
Ha ha ha haMkuu unakumbuka tukio la trip ya maswa girls[emoji23] [emoji23]
Chabo tulikuwa tunawapiga kidogo sio sana.Hahahahhaha!! Chabo je??
Hamkuwa wastaarabu, ndio maana tulikuwa twavuka ng'ambo NSUMBA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nao walikuwa na ya kwao tu.Chabo tulikuwa tunawapiga kidogo sio sana.
Hlafu unajua kuna wadada walikuwa wanaenjoi sana kuchunguliwa??
Kuna wadada ninawafahamu mpaka leo walikuwa hawaogagi mabafuni, wao wakishajua mida ya boys kwenda beach na wao wanaenda kuoga ziwani.
Wakifika ni kujiachia tu kama walivyozaliwa, kuoga hawaogi mpaka kengele ya rokooooo.....