Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Siku hiyo nilikunywa kahawa kwa mara ya kwanza ili kuzuia usingizi maana kule porini sikulala kabisa
He he he he
Unamkumbuka Muheshimiwa sana D.C wa sasa alivyongoza mgomo??
Sasa hivi ukimuona kwenye runinga huwezi amini kama ndiye yeye.
 
Ha ha ha ha
Nakumbuka sana tu.

Ila bahati yenu headmaster alitugeuka kwa sababu binafsi anazozijua yeye(teh teh teh).
Ila tulilipiza kwa kuvunja kasanamu kenu pale geti la kuingilia skuli.

Nasikia madogo walikuwa wanakaita Salome.
Hahahahaha! Kile kisanamu kilipewa jina la ZAINA (Jina la mwanafunzi wa kwanza kuingia pale 50's )....Salome liliibukia tu,
 
Hahahahaha! Kile kisanamu kilipewa jina la ZAINA (Jina la mwanafunzi wa kwanza kuingia pale 50's )....Salome liliibukia tu,
He he he he he
Halafu wewe si ulikuwaga timekeeper wa umendeni wewe???
Hivi sijawahi kukubambia kwenye bugi wewe kweli??
 
Nakumbuka maisha ya Bwiru Boys miaka hiyo ilikuwa full mikasa.

Kulikuwa na eneo linaloitwa Mombasa, mahali ambapo vijana wa Boys walikuwa wanazama kuwapiga chabo mabinti wa girls pindi wanaoga.
Sehemu hii ilikuwa maarufu sana maana upande wa Ziwa waiokuwa wanautumia wasichana wa Girls maarufu kama "mende" ulikuwa unatenganishwa na upande wa boys kwa kilima fulani hivi kina mawe ya hatari, lakini vijana walikuwa wana risk life kwenda kula chabo.

Nakumbuka ishu ya headmaster wetu kupindi hicho kulikuwa na tetesi kuwa anapita na mistress wa Nganza, sasa kimbembe kilikuwa ole wenu siku ya debate au bugi(disko) mtoe pendekezo la kuwaleta Bwiru Girls, headmaster ataahirisha hata hilo disko, ila mkimletea mabinti wake wa Nganza, hata usafiri atawapa free.

Nakumbuka misemo maarufu kama kuguga likimaanisha kupiga msuli au kusoma, msemo kama kugenya likimaanisha kufariki, msemo kama fororo ukimaanisha uji usio na sukari, msemo kama mnyambo ukimaanisha mtu mwenye tabia za ubaguzi na kujisikia sikia , msemo kama kudabo ukimaanisha kudrudia msosi mara mbili, form one wakiitwa nguruwe na mingineyo mingi.

Nakumbuka pia visa vya mwanafunzi mmoja alikuwa shombe shombe alikuwa bingwa wa kupita na wake za maticha, mpaka akazaa na mke wa ticha mmoja hivi(Jina tunalihifadhi), akazaa kijana shombe shombe na kuleta mtikisiko mkubwa sana kwenye ndoa ya ticha wetu.

Walimu kama Mazebele, Rung'wecha, Begenyeza, Kissuu, Mchizi Mox, Massaba(R.I.P), Ruhiye(R.I.P) na wengineo wengi.

Nasikia pia kuwa hata Founder wa Forum hii muheshimiwa sana Maxence Mello ni product ya Luthuli Domitory pale njia ya kuelekea ukarani na alikuwa ngugi kweli kweli(just kidding).

Tukumbushane life ya Bwiru aisee.
Sitasahau aisee....
Maisha ya Bwiru nimatam km

brazil...beach sebulen
 
He he he he
Unamkumbuka Muheshimiwa sana D.C wa sasa alivyongoza mgomo??
Sasa hivi ukimuona kwenye runinga huwezi amini kama ndiye yeye.
Namkumbuka vizuri sana, kama sio yeye vile. Kwa misimamo yake sijui aliingiaje kwenye kile chama[emoji23] [emoji23]
 
Namkumbuka vizuri sana, kama sio yeye vile. Kwa misimamo yake sijui aliingiaje kwenye kile chama[emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ha
jamaa anajua kuzichanga karata zake vyema sana.

Ni mtu wa hesabu kali sana.
Mungu amsaidie tu afike mbali, anaweza kuwa kiongozi mkubwa sana nchi hii.
 
Baada ya mgomo nakumbuka unakuja na barua kutoka kwa dc wako pamoja na adhabu ya kufyatua tofali 200. Naskia kisuu alipiga hela pale coz aliyatumia kujenga mabweni ya advance huku akisema ameyanunua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hamkuwa wastaarabu.
He he he he
Hatukuwa wastaarabu sisi??

Watu tunafagia mpaka barabara ya kwenda umendeni daily, mnapita pamefagiliwa??
kwenye debate tulikuwa tunaongea kijentlomeni leo unatuia hatukuwa wastaarabu??
 
He he he he
Hatukuwa wastaarabu sisi??

Watu tunafagia mpaka barabara ya kwenda umendeni daily, mnapita pamefagiliwa??
kwenye debate tulikuwa tunaongea kijentlomeni leo unatuia hatukuwa wastaarabu??
Mkuu unakumbuka tukio la trip ya maswa girls[emoji23] [emoji23]
 
He he he he
Hatukuwa wastaarabu sisi??

Watu tunafagia mpaka barabara ya kwenda umendeni daily, mnapita pamefagiliwa??
kwenye debate tulikuwa tunaongea kijentlomeni leo unatuia hatukuwa wastaarabu??
Hahahahhaha!! Chabo je??
Hamkuwa wastaarabu, ndio maana tulikuwa twavuka ng'ambo NSUMBA
 
Mkuu unakumbuka tukio la trip ya maswa girls[emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ha
Nakumbuka sana amkuu.

Kuna watu miacha watoto kule, mwende kuwaangaia watoto wetu, watakuwa washakuwa watu wazima sasa.

Unakumbuka Ile shule ya Sengerema inaitwa Nyamprikano ilikuwa Boys kututembelea??

Unakumbuka vijana walivyokuwa wanapigana vikumbo usiku kucha kupata access ya kuzungumza na warembo bweni walilokuwa wamefikia??

Yaani siku hio kuanzia H.P mpaka raia wa kawaida tulikesha madirishani mpaka kukakucha.

Ha ha ha ha ha
Maish haya bana
 
Hahahahhaha!! Chabo je??
Hamkuwa wastaarabu, ndio maana tulikuwa twavuka ng'ambo NSUMBA
Chabo tulikuwa tunawapiga kidogo sio sana.

Hlafu unajua kuna wadada walikuwa wanaenjoi sana kuchunguliwa??

Kuna wadada ninawafahamu mpaka leo walikuwa hawaogagi mabafuni, wao wakishajua mida ya boys kwenda beach na wao wanaenda kuoga ziwani.

Wakifika ni kujiachia tu kama walivyozaliwa, kuoga hawaogi mpaka kengele ya rokooooo.....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nao walikuwa na ya kwao tu.
 
Back
Top Bottom