Wale wa Bwiru Boys: Tukumbushane maisha na mikasa ya Bwiru

Hii picha imenikumbusha mbali sana. Nakumbuka kuna kipindi tulienda kucheza mechi na nsumba ukatokea ugomvi. Watu ambao hawakua na nauli walitembea kutoka nsumba mpaka bwiru kwa mguu
Siku hiyo ilikuwa uwanja gani wa Nyamagana au Nsumba??

Watu walikuwa wanatembea toka Nsumba mpaka Bwiru kwa miguu ila kengele ya msosi wanaiwahi aiseee
teh teh te h
 
Ilikua nsumba. Nsumba na boys wana uhasama wa kihistoria na chanzo ni wanawake (nganza na mende)
He he he he
Huo uhasama huwa hauishi mkuu, ni wa enzi na enzi.

Nasikia miaka ya Nyuma ilishawahi kutokea fujo mpaka ya kuuana kisa Mende na Nganza
 
Dah
Jamaa keshastaafu??

Alitufanya kitu mbaya sana yule jamaa, hatuwezi kumsahau aiseee
Hahahaah..........kudeal na wanafunzi kwake ni sawa na kudeal na wajukuu! Small boys. Baada ya ukuu wa mkoa akawaga balozi for some years in West Africa. Akastaafia huko ubalozini.
 
Hahahaah..........kudeal na wanafunzi kwake ni sawa na kudeal na wajukuu! Small boys. Baada ya ukuu wa mkoa akawaga balozi for some years in West Africa. Akastaafia huko ubalozini.
He he he he he
Na kweli mkuu , maana ishu ya mgomo ilikuwa tunadai wali maharage na sio kingine.
Ndio maana aliona ni ujinga akatutosa.
 
Ule hauishi ni kama simba na yanga
Niliukuta pia uko mwingine Tabora Boys na Milambo, yaani ni visa mpaka vya kuuana.
Siku ikipigwa mechi ya Boys na Milambo hadi polisi wanakuja kutuiza ghasia
 
Aliwafanya nini?
Tuliwahi kugoma tunadai msosi mbaya, kumbe nia ni kuongezewa siku za wali skuli.

Jamaa akatusoma akatuelewa, Siku tumeandamana mpaka ofisini kwake na mabango yetu asubuhi asubuhi anatutimua akasema turudi skuli atakuja huko huko.

Mwisho wa siku akaja akatuchana live kuwa tunagomea jambo la kipuuzi, wanafunzi ni wapuuzi na waalimu wetu nao ni wapuuzi.

Tulichoka.
Teh teh teh teh
 
Hapo sikulaumu kabisa huyo madam kuwa center ya focus yako. Huyo kushoto mwa madam ni mwanae nini?
Ha ha ha ha
Unamuita mwanaume huyo??

Huyo ni mrembo mkali tu na kwa sasa ni muheshimiwa sana idara fulani nyeti sana ya nchi hii
 
Ha ha ha ha
Unamuita mwanaume huyo??

Huyo ni mrembo mkali tu na kwa sasa ni muheshimiwa sana idara fulani nyeti sana ya nchi hii
Wapi nimemuita mwanaume mkuu, hapo hata kipofu anaona kabisa kwamba hicho kisuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
He he he he he
Na kweli mkuu , maana ishu ya mgomo ilikuwa tunadai wali maharage na sio kingine.
Ndio maana aliona ni ujinga akatutosa.
Hahahahah.....Imagine! Yaani mwenyekiti wa kamati ulinzi na usalama ya mkoa mnamletea uvunjifu wa amani kwa sababu ya kukosa wali maharage?! Bora hata kesi ya kukosa disco na Bwiru girls......mambo ya wanafunzi sometimes very interesting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…